GE2025 CCM wapitisha maprofesa 16 kugombea ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
GT
Baadhi ya Maprofesa waliopitishwa

1. Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini)
2. Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini)
3. Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua)
4. Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete)
5. Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu)
6. Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu)
7. Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa)
8. Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini)
9. Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini)
10. Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini)
11. Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe)
12. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini)
13. Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini)
14. Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)
15. Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro)
16. Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)

Sijajua huko Vyoni wamemqacha nani.
Maustadhi mnakwama wapi kwenye uprofesa?
Asante Studio!
 
Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-
Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge,
Katika matangazo hayo watu wenye elimu ya uprofesa wapo 16,
Je unataka kujua ni akina nani hao na wanagombea jimbo gani,
Soma orodha hapa chini kama fuatavyo;-

1). Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini)

2). Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini)

3). Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua)

4). Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete)

5). Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu)

6). Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu)

7). Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa)

8). Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini)

9). Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini)

10). Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini)

11). Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe)

12). Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini)

13). Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini)

14). Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)

15). Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro)

16). Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)

Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro
Malaria 2 umetake note ya haya majina?
Mbona kina Prof. Abdool hawapo?
 
Prof. Adolph Mkenda wa hapo Rombo hajarudi?.
 
Back
Top Bottom