GE2025 CCM wapitisha maprofesa 16 kugombea ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-
Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge,
Katika matangazo hayo watu wenye elimu ya uprofesa wapo 16,
Je unataka kujua ni akina nani hao na wanagombea jimbo gani,
Soma orodha hapa chini kama fuatavyo;-

1). Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini)

2). Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini)

3). Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua)

4). Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete)

5). Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu)

6). Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu)

7). Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa)

8). Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini)

9). Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini)

10). Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini)

11). Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe)

12). Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini)

13). Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini)

14). Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)

15). Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro)

16). Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)

Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro
Kumbukeni lakini, hii bado ni CCM....chama kisicho na dira maalum ya kuliongoza hili taifa. Mnakumbuka enzi za utawala wa rais wetu "Mtalii" Kikwete ile awamu yake ya kwanza, jamaa alichagua mawaziri karibia ya wote Maprofesa ila walishindwa kuliongoza hili taifa kupiga hatua mbele. CCM haiwezi hata siku moja kuiendeleza hii nchi hata iongozwe na malaika aliyevaa nguo na bendera ya CCM, haitawezekana kamwe.
 
Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-
Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge,
Katika matangazo hayo watu wenye elimu ya uprofesa wapo 16,
Je unataka kujua ni akina nani hao na wanagombea jimbo gani,
Soma orodha hapa chini kama fuatavyo;-

1). Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini)

2). Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini)

3). Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua)

4). Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete)

5). Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu)

6). Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu)

7). Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa)

8). Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini)

9). Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini)

10). Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini)

11). Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe)

12). Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini)

13). Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini)

14). Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)

15). Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro)

16). Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)

Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro
Hamna lolote hapo, ni ujinga mtupu tu....kwani enzi za Mze wa Msoga (Mtalii Hasara) ilikuwaje? Si alikuwa na mawaziri ambao ni Maprofesa, walifanya nini kuliendeleza hili taifa zaidi ya kulifilisi....CCM si chama cha maana, wao walishashindwa kuliongoza hili taifa, kilichobaki kwao ni maigizo tu. Hapo washachagua machangudoa wa kuwala na kupokezana kuwaambukiza magonjwa kuanzia 2025 - 2030.
 
Namba 10. Ndakidemi. Huyu ndio atamtoa jasho Kikeke. Kwa taarifa tu. Jimbo la moshi vijijini Mgombea wake anatokeaga kibosho. Antony Komu tu ndiye aliyetokea Uru. Wengine wote waliopita wanatokea kibosho. Kibosho kuna kata kumi. Wakati huko uru north, uru east, oldmoshi, Chekereni huko kata ni chache. Kati ya kata 5-6.

Kama sikosei Huyu jamaa baba yake alikuwa mmoja wa wafanya biashara wakubwa pale moshi. Mwaka 2000 ndie alikuwa menaja kampeni wa mzee Ndesamburo.
Atashinda kwa kashindo kikubwa.
 
Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-
Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge,
Katika matangazo hayo watu wenye elimu ya uprofesa wapo 16,
Je unataka kujua ni akina nani hao na wanagombea jimbo gani,
Soma orodha hapa chini kama fuatavyo;-

1). Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini)

2). Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini)

3). Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua)

4). Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete)

5). Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu)

6). Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu)

7). Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa)

8). Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini)

9). Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini)

10). Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini)

11). Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe)

12). Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini)

13). Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini)

14). Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)

15). Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro)

16). Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)

Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro
Huko Vyuoni nani atafundisha? Japo Ubunge haumzuii Prof kuingia darasani.lakini u busy wa kazi sio rahisi kwake.

Wafilirie mara 2 mbili
 
Sijawahi kusikia profesa mbunge akitoa hoja ya kiprofesa,zaidi Huwa wako kimya tu hata pale mambo yanapo haribika,wanazidiwa hoja na Mbunge Musukuma.Warudi vyuoni wakafundishe au wajiajiri.
Tangu lini unasikiliza Bunge Hadi useme hujawahi sikia? Acha uongo .

Ingia U tube msikilize Kitila Mkumbo , Prof.Muhongo na Prof.Mkenda
 
Daah hawa kwanini wasibaki kufundisha??

Matumizi mabaya kabisa ya elimu zao

Sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu!!??

Huko bungeni tungewaacha wanaojua kusoma na kuandika tu
Hawa maprofesa wangebaki kushika chaki
Angalia Umri wao

Wengi wameshaelekea machweo
 
Kama ulikua hujui kuwa CCM imepitisha MAPROFESA 16 kugombea ubunge wacha nikufahamishe;-
Muda mchache uliopita CCM imetoka kutangaza matokeo ya nafasi za ubunge,
Katika matangazo hayo watu wenye elimu ya uprofesa wapo 16,
Je unataka kujua ni akina nani hao na wanagombea jimbo gani,
Soma orodha hapa chini kama fuatavyo;-

1). Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini)

2). Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini)

3). Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua)

4). Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete)

5). Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu)

6). Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu)

7). Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa)

8). Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini)

9). Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini)

10). Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini)

11). Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe)

12). Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini)

13). Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini)

14). Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)

15). Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro)

16). Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)

Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro
Tupunguze wivu na mihemko. Kwani ma-Profesa wamevunja sheria ganibya nchi kugombea ubunge?
 
Kwa wenzetu, maprofesa ni thinktanks. Kazi zao ni utafiti na kuvumbua vitu vipya au mambo mapya mbali mbali kwa ajili ya kutatua au kupata ufumbuzi wa changamoto mbali mbali zinazoikabili dunia ili kurahisisha maisha na watu waishi vizuri. Kwetu huku maprofesa wanataka kwenda kuwa machawa wa wanasiasa waliofeli mashuleni.
 
2010 wakati nasoma Udsm huyu Prof Kitila mkumbo enzi hizo ni Dr na mfuasi mkubwa wa Chadema alikua anatufundisha course moja ya education inaitwa SOCIAL PSYCHOLOGY alikua anatoa mifano mingi ya kuiponda sana Ccm na watu wake.. Leo 2025 nikimwangalia Profesa Kitila Mkumbo kwenye TV mpaka naishiwa nguvu.
Usishangae. Anakula alikopeleka mboga.
 
Tangu lini unasikiliza Bunge Hadi useme hujawahi sikia? Acha uongo .

Ingia U tube msikilize Kitila Mkumbo , Prof.Muhongo na Prof.Mkenda
Sasa Huwa wanaongea nini zaidi ya kusifia pasiposifiwa ili kujihakikishia teuzi kipindi kama hiki Cha uchaguzi.
 
Back
Top Bottom