Recent content by Sage man

  1. S

    Uzalendo na Uwajibikaji ndo kila kitu kwa Tanzania ya sasa

    Tumefikishwa mbali sana na tuliowaamini, tukawapa dhamana ya kusimamia nchi hii wakiwa ni viongozi wetu. Mara nyingi huwa tunasoma na kuelezea sifa za kiongozi bora, na wengi wetu ni walimu--- Cha kusikitisha tunaoongozwa na hawa viongozi ndo tumepoteza radha ya kuleta mabadiliko hali...
  2. S

    Nahisi Hapa si Mahali Pangu

    Niliajiriwa, nikatumika kwa muda wa miaka miwili, nikaondoka kuja jusoma tena. But am not comfortable yet though i'm studying
  3. S

    Nahisi Hapa si Mahali Pangu

    Nimekuwa nikipitia hatua mbalimbali za maisha, nilihitimu kidato cha sita mchepuo wa sayansi (PCB) miaka kadhaa iliyopita, sikubahatika kuendelea na ngazi ya shahada ila nikajiunga na masomo ya stashahada ya afya ya mifugo. Nilihitimu pia, kwa sasa naendelea na masomo ya shahada katika chuo...
  4. S

    Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

    Keshachakachua omolo wake, ishakuwa ya kichina aisee, amepunguza kama sio kuondoa uwezo wake wa kufanya kazi. Afadhali ungeacha asili yake ukatafuta namna ya kuwa mbunifu. Tayari kidonda hicho,mmh! Uvimbe unasema imeongezeka! Ndo maana usiku inajaa, subiri maumivu yake baada ya ganzi ya pilipili...
  5. S

    Katiba mpya: Kosa la CCM ni lipi.?

    Ina maana Rais wa Muungano huwa hawajibiki ipasavyo kwa upande wa Zanzibar?
  6. S

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr.Slaa
  7. S

    Nataka kuacha kazi

    Maisha ni kujiamini na kuwa na uhuru wa dhamira, kila kitu kinawezekana. Penye nia pana njia, songa mbele.
  8. S

    Hellow!!,, its Nicky kuna dada 1 nampenda

    Usijaribu watu wazima, vijana siku hizi hamchelewi kujitwalia. Ha ha ha ha haaa
Back
Top Bottom