Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Unafikiri kazi ya ukaguzi ni rahisi kihivyo?

funny-frisk.jpg
Huyu mumbwa nae hajatulia

Baada ya kuwasaidia askari eti na yeye kaunga ukuta
 
Kampeni za kupunguza idadi ya watu duniani, jamaa anajua ukifanya hivyo mboo lazima inywee moja kwa moja hivyo kukupotezea uwezo wa kutia, usipotia hupati mtoto.

Kitu kingine, wewe dawa ulipata kwa mganga na ulinuiziwa wewe hivyo kwa wengine haitafanya kazi.
 
sasa huyu nae sijui ana akili timamu?? naomba sample tafadhali
 
Pilipili juu ya uume kaka hapo huna dhamira njema na men wenzako. Kwanza hutalala na kuna uwezekano wa kukimbiza Hospital ukapigwe antidote ku neutralize pilipili
 
mi nimeridhika na niliyonayo sijawahi kupata malalamiko kwamba haitoshi
 
Haki ya mama nakunya tumboni vibamia jaribuni muone
sitanii enzi za utoto nlikua cjui wakanambia ukipaka pilipili sehem za siri utakipata cha moto nikawa siamin nami ujinga wa kutaka kutimiza curiosity nkachukua pilipili (wakat cjataili/kata) nkafunua go...vi nkapakaa afu nkafunga c unajua utoto after a limiti of second nliona dunia kama inawaka moto jamaniee ridhiken na hvo ulivoumbwa usijejaribu tamaa mbaya (20% alisema)
 
Last edited by a moderator:
Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc.

Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias.

Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana.

Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu.

Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele.

Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala.
Uume na pilipili,chumvi na limao! mmmh
 

Attachments

  • JKT.jpg
    JKT.jpg
    4.1 KB · Views: 528
Duh!! Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni,mashine uipake pili pili unafikiri utalala kweli
 
Keshachakachua omolo wake, ishakuwa ya kichina aisee, amepunguza kama sio kuondoa uwezo wake wa kufanya kazi. Afadhali ungeacha asili yake ukatafuta namna ya kuwa mbunifu. Tayari kidonda hicho,mmh! Uvimbe unasema imeongezeka! Ndo maana usiku inajaa, subiri maumivu yake baada ya ganzi ya pilipili kuisha.pole.
 
Back
Top Bottom