Nahisi Hapa si Mahali Pangu

Sage man

Member
Jan 19, 2014
9
0
Nimekuwa nikipitia hatua mbalimbali za maisha, nilihitimu kidato cha sita mchepuo wa sayansi (PCB) miaka kadhaa iliyopita, sikubahatika kuendelea na ngazi ya shahada ila nikajiunga na masomo ya stashahada ya afya ya mifugo.

Nilihitimu pia, kwa sasa naendelea na masomo ya shahada katika chuo fulani hapa Tz. Ila kila kukicha nafsi yangu inaumia na kuhitaji sana kutumika katika fani ya udaktari wa binadamu.

Je kuna uwezekano wa kuendelea na career ya udaktari japo umri wangu nao umesonga?

Matokeo ya form six hayaridhishi,

Je naweza kutumia ya stashahada kujoin chanel hiyo?

Naomba ushauri wenu wandugu.
 
Ruvuma

Member
Apr 29, 2014
19

HUko mifugo umesha ajiriwa?
 
Wustenfuchs

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
299
250
Inawezekana kabisa mkuu, fuatilia katika vyuo mbali mbali vya medicine, licha ya matokeo ya advance, diploma na degree ni added advantage. Nadhani kwa tcu katika applications zao pia kuna category ya watu wa diploma na Bsc degrees wanoapply.
 
Ze Heby

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,556
2,000
It is very possible..kuna mwalimu pale Muhas kafanya bachelor SUA Veterinary Medicine na sasa anafundisha Anatomy
 
Sage man

Member
Jan 19, 2014
9
0
Niliajiriwa, nikatumika kwa muda wa miaka miwili, nikaondoka kuja jusoma tena. But am not comfortable yet though i'm studying
 
SEROTHERAPY

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
200
195
Niliajiriwa, nikatumika kwa muda wa miaka miwili, nikaondoka kuja jusoma tena. But am not comfortable yet though i'm studying

Kakaaa daaa inaniuma sanaa kwamba kwaninii hukuaply clinical medicine ukaenda degree ya medicine ok ilasio mbaya ebuu kaza huko kwenye mifugo napoo haupo mbalii na field ya animals maana hata si binadamu ni wanyama sema sisi mammalian kaza upo ulipo mbona pazurii tuu usiwe limbukenii kunawatuu wanaitajii hata hizo mifugo hawapatii usiwehivyo kaka sio mzukaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom