Recent content by safariwafungo

  1. safariwafungo

    Salaam za sikukuu ya nane nane 2019 na umuhimu wa biashara "viwanda & huduma" katika kuchagiza maendeleo

    Na Ndugu Safari Fungo Kwanza kabisa napenda kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu muumba ardhi na dunia, mwingi wa utukufu na mwenye kurehemu. Kisha napenda kutumia fursa hii kuwatakia heri ya siku ya Nane Nane 2019 watanzania wenzangu wote na hasa washika dau katika sekta hii muhimu ya...
  2. safariwafungo

    Riwaya: Sala ya Sarah

    Asante sana the_legend, hakika hadithi tamu na nzuri. Ubarikiwe! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. safariwafungo

    Kutoka Dodoma, Mrithi wa Kinana: Shigela, Pereira, Prof. Mkumbo na Dr. Bashiru Ally watajwa

    LUKUVI ndio chaguo sahihi kuvaa viatu vya Kinana, just mark my words.
  4. safariwafungo

    Mmehamasisha Kilimo,Hakuna pa kuuzia!

    Let stop complaining and start stategizing, it can be done play your part badala ya kutumia energy nyingi kwenye kulalamika , lengo letu ni kubadilishana uzoefu na unaposema hakuna model au namna unayoweza kufanyia maoteo hii sio sahihi. Nadhani ni vyema tukajikita kwenye kuibua changamoto...
  5. safariwafungo

    Mmehamasisha Kilimo,Hakuna pa kuuzia!

    Nadhani tunatumia muda mwingi kujadili matatizo badala ya masuluhisho, unapo sema mzunguko wa fedha mbovu, ama sera mbaya wakati huna uwezo wa kuzibadilisha ni sawa sawa na kupoteza muda na kuibua madonda ya tumbo. Binafsi na unga mkono hoja wa kufanya Tafiti ya kina sio kwenye kilimo tu la...
  6. safariwafungo

    Computer4Sale Nauza Apple Mac Book AIR, Core i5 - 900k

    Habari ndugu, Nipo interested na Mac laptop can you reach me via 0713764589
  7. safariwafungo

    Ushauri: Nataka niache kuajiriwa nijiajiri

    Hongera kwa wazo zuri, tunaweza kuongea and WhatsApp zaidi kuona kama tunaweza kushirikiana. 0713 764 589 fungolee@gmail.com
  8. safariwafungo

    Kwanini nyumba nyingi Dar hubanduka rangi nje na ndani?

    Udhibiti wa madini ya risasi katika bidhaa za rangi upo vizuri na hivi karibuni kuna viwango vingi vimeboteshwa katika eneo hilo na vile vile testing facilities zipo. Cha msingi ninkushirikiana na mamlaka za udhibiti.
  9. safariwafungo

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Kila zama zina kitabu chake, huu ni uongozi wa tano na serikali ya Dr. Magufuli. Bila shaka katika watanzania waliopo kwenye wakati mgumu zaidi miongoni mwao ni rais wetu kipenzi Dr. Magufuli, hii ni kwa kuzingatia yupo katika wakati wa kusuka kikosi chake kwa maaana ya wasaidizi wake...
  10. safariwafungo

    Siku njema huonekana asubuhi, twende na magufuli #sasakazitu

    Kutoka katika sakafu ya Moyo wangu navutiwa sana na utendaji wa Raisi wangu kipenzi Dr. #Magufuli. Mungu akufanyie wepesi uweze kutupaisha kama taifa katika uchumi wa Kati na in sha Allah uchumi wa juu na kuleta manufaa kwa jamii nzima. Kwa mtazamo wangu kama taifa tuna tatizo kubwa sana...
  11. safariwafungo

    Nafasi za kazi Shirika la Viwango

    Nipo boss wangu, mambo yanakwenda. Naona unatumia jina bandia ha ha ha!
  12. safariwafungo

    Msaada: Nikivaa kinga (Kondomu) wakati wa kufanya mapenzi sifiki kileleni

    Kuna baadhi ya kondom huwa zimewekewa chemicals at the tips ku-delay ejaculation, kwavyo kuwa makini na aina ya kondomu unayotumia, tumia latex za kawaida ambazo Hazina nyongeza ya hizo chemicals mbali na hapo unaweza kuwa na psychological issue, kwahiyo nashauri foreplay muifanye kwa muda wa...
  13. safariwafungo

    Nafasi za kazi Shirika la Viwango

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES (about 200 posts) Tanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania’s sole standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was repealed and replaced by the Standards Act No. 2 of 2009. It is a Parastatal Organization under the Ministry of...
  14. safariwafungo

    TBS na Serengeti Global, huu ni wizi wa wazi na hatutakubali

    Kwa maoni yangu binafsi naamini kila nchi ina utaratibu wake hivyo Tanzania kama nchi hatuwezi kutegemea mamlaka ya nchi nyingine katika kulinda uchumi na watu wetu. Mathalani si kwa kuwa Marekani wana kikosi kizuri chenye uzoefu mkubwa katika masuala ya usalama basi raisi wetu aendapo...
  15. safariwafungo

    Niuzie Pump ya Kupandisha maji katika Kisima

    Bajeti yako inasomekaje?
Back
Top Bottom