Itakuwa prezzo aliitwa kutumbuiza basi maskini wa watu akajiendea zake na gita lake, lahaula la kwata , kufika anakuta anatakiwa kutumbuiza uwanja wa taifa wakati alizania ni sebuleni!
Mi swali najiuliza kwa tenga na tff yake hawajibu hoja za serikali kuwa mabadiliko ya katiba hayakufuata taratibu na badala yake wanakimbilia kusema tutafungiwa na FIFA, wangekuwa ni viongozi wenye malengo mazuri na mpira wa tz basi wangeitisha kikao na kubadilisha katiba kama serikali...
Osokoni nadhani tulikuwa wakati mmoja mgambo? Mi nilikuwa pia b-coy , tulikuwa na afande mchele, na afande moyo,uko wapi mkuu?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ni kambi ya jeshi ambayo kwa wakati huo wa 92/93 alikuwepo pia joseph kabila ambaye kwa sasa ni raisi wa congo DRC
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
835kj kweli ni mgambo, nilikuwa pale kwa mwaka mmoja 92/93 , alikuweko mkuu wa kikosi akiitwa afande chale na msaidizi akiwa kipangula, those days zimeniachia a very good memory ya adventures
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mi nadhani watu wanaweka nguvu nyingi kujadiliana kuwa gesi ibaki mtwara tu au itoke mtwara! Hili nadhani kuna watu wanalifanya makusudi ili kuwapoteza watu hoja ya msingi kuwa Mtwara itafaidikaje na hiyo gesi? Hii hoja ni ya msingi sana kujadiliwa kwani tumeona maeneo ya madini jinsi gani...
Wala sio jambo la kushangaa kwani ukisafiri kwenda baadhi ya nchi za afrika kama zimbabwe na south africa, utakuta waganga wa huko matangazo yao wameandika kuwa mganga maarufu anatoka tz! So ni kweli tunatisha
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
mnamkumbuka mwalimu mkoba wa mazengo secondary? Alikuwa poa sana , alikuwa anapenda sana michezo, chakula shuleni kilikuwa kizuri na alikuwa hakabani na wanafunzi ila alisisitiza sana watu wajitahidi kusoma. Bahati mbaya yeye na mke wake wameshafariki
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.