Vikongwe na Albino wanauwawa kwa Imani za kishirikina! Wanasiasa na wafanyabiashara wanakwenda kwa sangoma ili wafanikiwe malengo yao.Hata marehemu Sheikh Yahaya alisema atampa ulinzi usionekana Dhaifu.Na mpaka leo ikulu haijakanusha ulinzi huo wa kimazingara.
Hili nalo halihitaji degree kulibaini.Mmesahau ulinzi wa majini aliondaliwa prezda na marehemu mnajimu maarufu?
Eti leo wanajifanya wamesahau!
Sidhani kama ni sahihi kufananisha dawa ya Babu na huduma zinazotolewa na Mchungaji Lwakatare,ni vitu viwili tofauti kabisa. Kwangu mimi ni rahisi kutofautisha dawa ya babu na Mch Rwakatare kuliko ninavyoweza kutofautisha na Babu na waganga wa jadi...Babu anaangukia kweny kundi la watoa mitishambala loliondo halikuwa ushirikiana bali imani ya mungu kama vile watu wsanavokwenda kwa akina mama lwakatare na wengine wengi waliofungua makanisa hapa tz
wanasema pia mashehe wanafuga majiniMi nafikiri kila nch inaushirikina ila inategemea wanavyoutumia,mfano hamna nch wachawi kama Marekan lakini hautalisikia hili CNN wala BBC