I have never seen this learning thread before its really interesting, i hope to emprove my english through this thread, many thanks to anyone who started this thread, great job
Weye ni ktk wale majuha mnaodanganywa kuukataa ukweli, lete ushahidi kuhs ayo usemayo, aya mambo ya mauwaji ya waarabu sisi tulishayasikia zamani ktk kwa mababu zetu na ukweli ulifichwa na ukageuzwa na mpaka history maskuli hausomeshwi ukweli, mnaodanganyika ni mbumbumbu kama ivo nyie, biashara...
Yaani apa kila topic utaona wanajadiliwa wapemba au wazanzibari wapemba wazanzibari wapemba wazanzibari, ivi nyie wabongo mnajadiliwa na nani eti ee? Au nyie muko perfect? Huwa mnapenda sana kujadili wazanzibari, ebu waacheni waznz tafuteni yenu sasa mjadili waacheni wapemba wafanye wanavyotaka...
Wabongo ukataeni muungano hauna faida kwenu wala kwetu wanaofaidika ni viongozi tu,sisi wazanzibari hatuutaki tumechoka kutawaliwa, lkn sisi hatuna mdomo ukitaja tu habari ya kukataa muungano unakamatwa lkn nyinyi mnao uwezo uwezo wa kuukataa na mukafanikiwa
Kutokana na habari nliyosoma kwenye website ya zanzibar yetu ni kuwa viongozi wote wa znz wakiwemo na wastaafu kisheria huwa wanapewa nyumba na serikali huko dar wakija za kukaa, hilo ni jukumu la serikali, sasa maalim seif mpaka hii leo yeye hajapewa nyumba ndio maana akija huko hufikia hoteli...
Especially kwetu pemba is the most peacefull island in tz, sisi kule tunatembea na handbags zetu na simu tunaongea kwa raha zetu hakuna habari ya kuporwa kama vile bara, uko bongo mi nshawahi kuporwa mara mbili
Ni kweli ukweli hauwezi kuwa uongo ata sku moja, na ukweli ni kuwa maalim alishinda ccm wakaamuwa kuufuta uchaguzi ili wapate wajipe ushindi wenyewao, huo ndo ukweli ukiutaka usiutake, mnajitahidi kuhalalisha haramu lkn i say haramu maisha itakuwa haramu tu
Yaani awa mwisho, kura wamepiga wenyewe, mawakala wao wenyewe, walinzi wao wenyewe, walohesabu kura wao wenyewe, kila kitu wamefanya wao wenyewe machizi kweli kupoteza izo pesa tu kisiwa chenyewe maskini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.