Maalim amewasaliti wana mapinduzi

Maalim amewasaliti wana mapinduzi

nakuunga mkono kamanda. ulipo tupooo. na sio hilo tu. tunawataka pia mafisadi waliohamia ukawa waondoke haraka. na wale wote waliouza uhuru wao kwa kitu pesa basi wajipime waone kama wanafaa kuendelea kuwepo kwwnye vyama hivi
Hehehe mtaitwa wasariti
 
Kitendo chake cha kukaa hotelini na kutumia mamilioni kimetosha kabisa kufisha morale ya wapiganaji.

Kanuni ya kwanza ya mwanamapinduzi yoyote ni unyenyekevu na utu.

Kuishi kwa starehe ni kinyume cha imani za wanamapinduzi wote ulimwenguni.

Hakuna popote katika historia ya dunia mwanamapinduzi kufuja rasilimali.

Wote kuanzia Fidel Castro, Che Guevara, na wengineo walijitenga na anasa.

Sidhani kama ilikua sahihi kwake kuishi hotelini.

Je. hakuna nyumba za serikali?

Hakuona umuhimu wa kusave fedha ili ziboreshe huduma kwa wapiga kura wake.

Amenifisha moyo sana...

Ametoa somo baya kwa wanasiasa wa vizazi vijavyo...

Kwamba ni sawa tu kutumia fedha za serikali hovyo maana hazina mwenyewe.

Maalim you owe us an explanation and an apology.
Kwani bado yupo hotelini kwa account ya SMZ?
 
Maalim kawaingiza mikenge wazanzibar ila kwa vile hawaoni na hawasikii waache wakae huko huko mikengeni..Shein piga kazi mweee!! ngenge nini?
Hivi wale ambao walikuwa na uhakika wa kushinda Uwakilishi kule Pemba, sasa hivi wana hali gani kama si chuki kwa Maalim?
 
Kabla hujamlaumu kwa kukaa hotelin mlaumu yule aliyeuza nyumba za uma koz xabab kubwa n yy kutopewa nyumba huku bara kama sheria inavotaka
Aliyeuza nyumba za serikali mko nae ukawa ni mh. Sumaye ndiyo alikuwa waziri mkuu
 
Ahahaaaa,,,,,,,endeleen kukwepa ukwl mana mnamuona malaika,,,,,time wil tel
 
Aliyeuza nyumba za serikali mko nae ukawa ni mh. Sumaye ndiyo alikuwa waziri mkuu
Aliyeuza si waziri Mkuu bali aliyekuwa Waziri wa Ujenzi kwa maelekezo ya aliyekuwa rais wa wakati ule ambaye kwa sasa ndiye mshauri wake Mkuu wa mambo ya kisiasa!!
 
Akili zingine zina ufa ,yaani mlitaka aje kwenye mahospitali yenu kisha mfanikishe mipango yenu ,mlitaka aende kwenye hospitali za mnaziini mmoja ,kama zingekuwa zipo chini ya serikali inayoongozwa na CUF ,mngekuwa na neno ,lakini kinara wa upinzani napingana na chama tawala aafu niende kwenye ospitali zao ? aloo ama kweli mnapima upepo kwa masikio.

Siwaoni watu wa ajabu kwani mnaridhishwa na maisha ya kitanda kimoja watu wanne ,jamani si ndivyo zilivyo hospitali huko mitaani ,au ndio leo zimeshaboreshwa ? Tatizo shaba iking'ara mnazani zaabu !!
 
Kitendo chake cha kukaa hotelini na kutumia mamilioni kimetosha kabisa kufisha morale ya wapiganaji.

Kanuni ya kwanza ya mwanamapinduzi yoyote ni unyenyekevu na utu.

Kuishi kwa starehe ni kinyume cha imani za wanamapinduzi wote ulimwenguni.

Hakuna popote katika historia ya dunia mwanamapinduzi kufuja rasilimali.

Wote kuanzia Fidel Castro, Che Guevara, na wengineo walijitenga na anasa.

Sidhani kama ilikua sahihi kwake kuishi hotelini.

Je. hakuna nyumba za serikali?

Hakuona umuhimu wa kusave fedha ili ziboreshe huduma kwa wapiga kura wake.

Amenifisha moyo sana...

Ametoa somo baya kwa wanasiasa wa vizazi vijavyo...

Kwamba ni sawa tu kutumia fedha za serikali hovyo maana hazina mwenyewe.

Maalim you owe us an explanation and an apology.

Propaganda hii na nyingine zote zinazoandaliwa Lumumba zenye lengo la kumfitinisha Mh.Maalim Seif na wapigakura wake waliomuamini na kumchagua kwa kishindo 25 Octoba 2015,zilishatabiliwa na kutolewa maangalizo hapa jukwaani na "GT" Kibo 10.

Unachojaribu kukijenga hapa ni propaganda mfu ambayo wenye akili walishatoa tahadhari,bandiko lako linapaswa kupuuzwa kama unavyopuuzwa wewe.

Tuambie ni shilingi ngapi toka serikalini na ziliidhinishwa toka kasma ipi ili zilipie gharama za Maalim Seif Hotelini?

Msome "GT" Kibo 10 alishauchungulia uzushi wenu kitambo na akatoa angalizo katika bandiko hili:

CUF na Maalim Seif Wajiandae na Propaganda ya Kula Mabilioni Kunyamazishwa

Tafuta uzushi mwingine,huu ulishabuma kabla ya kuletwa jukwaani.
 
hiyo ilikua defensive mechanism ya kitoto sana; kwa maana alijua kua tayari kakosea sasa anaisingizia ccm, ukweli lazima uzungumzwe wether mtaita propaganda au la..
 
Maalim ana ulinzi na huduma kutoka serikali ya zanzibar kwa kuwa waziri kiongozi kabla ya vyama vingi hiyo tu inatosha serikali kumpangia wapi pa kukaa.
 
Kutokana na habari nliyosoma kwenye website ya zanzibar yetu ni kuwa viongozi wote wa znz wakiwemo na wastaafu kisheria huwa wanapewa nyumba na serikali huko dar wakija za kukaa, hilo ni jukumu la serikali, sasa maalim seif mpaka hii leo yeye hajapewa nyumba ndio maana akija huko hufikia hoteli kwa sababu hana pa kufikia, sasa weye mleta mada kabla ya kumnyooshea kidole maalim seif iulize serekali yenu kwanza kwa nini maalim hakupatiwa nyumba hadi sasa? Na jengine nawashangaa ivo mnavolalamika kama vile labda yule maalim ni mtu tu wa mitaani anafadhiliwa na serikali, nawajuulisha kuwa yule ni kiongozi na hata akiwa ni mstaafu pia bado ana haki na uo ujuha wenu, ivi nyie mnafkiria kama hana haki serikali yenu yengekubali kumfadhili bure bure subutu
 
Propaganda hii na nyingine zote zinazoandaliwa Lumumba zenye lengo la kumfitinisha Mh.Maalim Seif na wapigakura wake waliomuamini na kumchagua kwa kishindo 25 Octoba 2015,zilishatabiliwa na kutolewa maangalizo hapa jukwaani na "GT" Kibo 10.

Unachojaribu kukijenga hapa ni propaganda mfu ambayo wenye akili walishatoa tahadhari,bandiko lako linapaswa kupuuzwa kama unavyopuuzwa wewe.

Tuambie ni shilingi ngapi toka serikalini na ziliidhinishwa toka kasma ipi ili zilipie gharama za Maalim Seif Hotelini?

Msome "GT" Kibo 10 alishauchungulia uzushi wenu kitambo na akatoa angalizo katika bandiko hili:

CUF na Maalim Seif Wajiandae na Propaganda ya Kula Mabilioni Kunyamazishwa

Tafuta uzushi mwingine,huu ulishabuma kabla ya kuletwa jukwaani.
Huu wa Kibo10 haukuwa utabiri, ni unafiki sababu ubadhrifu wa Maalimu ulishaanza kujadiliwa Mara baada ya kuchukua M350 kwa kisingizio cha kwenda kutibiwa India. ile ilikuwa ni pesa ya kunyamazishwa ili uchaguzi Wa marudio upite iliandikwa na magazeti watu wakaponda. Amerejea kafikia hotelini kwa wiki mbili yeye na wasaidizi sits madereva watano, kwa wiki mbili wametumia M100 imelalamikiwa na vyombo vya habari tens vikiripoti hatua ya Maalim kuzikataa nyumba alizotafutiwa Unguja na Dar kwa kisingizio hazina USIRI wakina Kibo10 wakadai hiyo no stahiki take kama Makamu Wa Rais. Leo mnakuja na Ngonjera nyingine hazisaidii Seif kawasaliti wenziwe. WASAIDIZI wake aliokuwa anatumbua nao Serena sio wengine ni akina Jussa nao wamewwka silaha kwapani huwasikii kelele zao. kazi hiyo wakaachiwa akina Mansoor matokeo take tumeona na sasa amebaki Sakaya M pekee Yale anakipigania chama.
 
Aliyeuza si waziri Mkuu bali aliyekuwa Waziri wa Ujenzi kwa maelekezo ya aliyekuwa rais wa wakati ule ambaye kwa sasa ndiye mshauri wake Mkuu wa mambo ya kisiasa!!
Waziri ni mtekelezaji wa maazimio ya maamuzi ya baraza la mawaziri ambalo kiongozi wake ndio Waziri Mkuu na kuidhishwa na Bunge Tuusiwe Vipofu Wa kujua kanuni sababu ya mahaba ya kisiasa. Hii ni sawa na uadui Wa wafanyabiashara na TRA wakidhani ndio i nayowakandamiza hali kuwa TRA n wasimamizi na Sheria iliyotungwa na Bunge kuhakikisha inatekelezwa
 
Kitendo chake cha kukaa hotelini na kutumia mamilioni kimetosha kabisa kufisha morale ya wapiganaji.

Kanuni ya kwanza ya mwanamapinduzi yoyote ni unyenyekevu na utu.

Kuishi kwa starehe ni kinyume cha imani za wanamapinduzi wote ulimwenguni.

Hakuna popote katika historia ya dunia mwanamapinduzi kufuja rasilimali.

Wote kuanzia Fidel Castro, Che Guevara, na wengineo walijitenga na anasa.

Sidhani kama ilikua sahihi kwake kuishi hotelini.

Je. hakuna nyumba za serikali?

Hakuona umuhimu wa kusave fedha ili ziboreshe huduma kwa wapiga kura wake.

Amenifisha moyo sana...

Ametoa somo baya kwa wanasiasa wa vizazi vijavyo...

Kwamba ni sawa tu kutumia fedha za serikali hovyo maana hazina mwenyewe.

Maalim you owe us an explanation and an apology.
Kuhusu nyumba za Serikali kama zipo hebu muulize Rais Magufuli.
 
Back
Top Bottom