Recent content by Sabrigas Mobeji

  1. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji hizi ndio Ajira mkononi

    Kabsa mkuu sio kwa bongo hii
  2. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mapenzi ndo yanauma hivi!

    Bata Pole sana mkuu tatizo na wewe muhimu jipange usiwe bata
  3. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Nani mwanzilishi wa mtaala wa elimu yetu?

    Kwa elimu ya nchi hii tumetoa kwa watu wa magharibi hila sijajua kwa watu wa magharib wao wametoa wapi
  4. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya mchawi mmoja toka huko Kilombero - Morogoro

    Hii stor au tukio
  5. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Meneja wa TANESCO na wenzake wasimamishwe hadi uchunguzi ukamilike

    Sio kila ktu rais hatoe tamko mengine anawachia wasaidizi wake
  6. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Latino na harakati za kuzamia ughaibuni mpaka kutoswa baharini

    Iko poa mkuu achia vitu
  7. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Ifike hatua niachwe tu!

    Ndugu me madem kama hao mizinga hikizid huwa nakausha tu atajiongeza mwenyewe.
  8. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Jaji Kiongozi: Wanaopeleka kesi Mahakamani bila kuwa na ushahidi wachukuliwe hatua

    Na yeye kamanisha ivyo watu wanakaa mabusu muda mref kwa kukosekana ushaidi au nimelewa tofaut
  9. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM muangalieni Mbowe na Chadema kwa jicho la tatu, ni mtu hatari sana

    Ni wazo pia litafanyiwa kazi kama linamanufaa kwa serikali na nchi ila CDM wapewe nafasi maana kuna viongozi wanaweza kazi na kuleta maendeleo kwa taifa
  10. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kati ya hawa 10, ni nani hasa anatawala dunia?

    Unatuchanganya mkuu tupo hapa kupata majibu na sio maneno yako
  11. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nitarejea Tanzania endapo yafuatayo yatafanyika

    Hakika kabsa kama huna lakucomment kaa kimya
  12. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Kuna nn tena mkuu
  13. Sabrigas Mobeji

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Sawa tunamsubri mkuu
Back
Top Bottom