Recent content by Saachs 5th Avenue

  1. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania inataka kusaidia Congo, isifanye kwa siri

    Idd Amini alivyovamia Kagera, kuna nchi yoyote ya kiafrica iliisadia Tanzania? Tuache kujipendekeza na kimbelembele
  2. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wakishapata degree wanajiona wamemaliza kila kitu duniani?

    On top of that wengine utasikia...usinchezee, unajua mimi ni mke wa mdhungu! Hiyo ya usinchezee nina degree si wabongo wote wanaitumia, bali ni wale jamaa zetu wenye majivuno sana kando kando ya lake Victoria na visiwa vyake. Ndio maana hata Idd Amini aliwa-mind
  3. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania Mitt Romney kachoka ile mbaya...ogopa jaluo wewe!!!

    Basi hata kuwa na chauffer kwake ni kufuja pesa?
  4. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania R.I.P. Republicans

    We had Joe the plumber who's vanished like a comet.
  5. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania Mitt Romney kachoka ile mbaya...ogopa jaluo wewe!!!

    LISTS| 09/16/2012 @ 11:43AM |28,506 views Forbes.comObama's Worth Nearly $6 Million -- See Why He's Down Since Last Year+ Comment now (Photo credit: Wikipedia) President Barack Obama and First LadyMichelle Obama are millionaires, worth nearly $6 million by our count. How do we figure this...
  6. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania Mitt Romney kachoka ile mbaya...ogopa jaluo wewe!!!

    Sungura aliposhindwa...sizitaki mbichi hizi. Money is not everything in life
  7. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania Tanzania isitishe uhusiano na Rwanda juu ya DRC?

    Tulijitia umbea wa kujifanya kimbelembele na kuzisaidia nchi kibao kupigania uhuru, angalia tulivyolost. Wamepata uhuru na they don't care about us, hata kupewa visa zao ni mgogoro. Tuachane na yasiyotuhusu
  8. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania Mitt Romney kachoka ile mbaya...ogopa jaluo wewe!!!

    Time to move on
  9. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania Majina ya uswahilini vs Masaki & Oysterbay

    Mzungu akiitwa Green, Hammer, Limehouse, Cabin, Crabtree, Second etc. it's not a big deal na is ok. Mswahili akiitwa Nyundo, Ndimu, Pili, Tatu, inakuwa issue. Tukumbuke hayo majina ya akina Karen sijui Jacqueline tuliletewa na sio yetu. Ni lini tutaachana na mental slavery??????
  10. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend.

    picha?
  11. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania Tanzania isitishe uhusiano na Rwanda juu ya DRC?

    Mzee Nadhani hiyo sio approach nzuri kwa Tanzania. Tujali maslahi yetu na tusijihusishe na yasiyotuhusu. Ukisema hivyo, mbona China na Russia zimekuwa mabubu wakati wananchi wasio na hatia wanakufa kwa maelfu kila siku kule syria? Museven anawachinja wapinzani wake, je nae tumsusie? Kumbuka...
  12. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania Hodiii great thinkers. I'm in da house

    Wells Fargo checking account number 00 00 00 677XXXX
  13. Saachs 5th Avenue

    JamiiForums Tanzania Hodiii great thinkers. I'm in da house

    Hodi wakuu. Nimejiunga na jamvi leo. Shukran
Back
Top Bottom