Recent content by Rwiza A.

  1. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda LRA leader Joseph Kony captured by US Forces In Central Africa, Uganda Army Confirms

    Which Wednesday are you referring!?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Misitu inaangamia !

    Umeleta hoja ya msingi sana kwa maana ni wachache sana kati yetu wanaoliangalia hili swala kwa uzito wake. Ukitoka Dar es Salaam kwa barabara kuelekea Arusha, Mwanza, Kagera, Mbeya, Mtwara, Songea nk unakutana na magunia ya mkaa yanayouzwa kandoni mwa barabara kila sehemu. Hiyo ni mbali na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya leo asubuhi Dar es salaam

    Navuta picha ya drainage za Mandela Rd ambazo kuta zake tayari zimeanza kubomoka.
  4. R

    JamiiForums Tanzania The Top 10 Most Intelligent People in the World

    Inajulikana kuna binadamu zaidi ya billion 6 duniani na wengine sio rahisi kujua IQ zao kulingana na mazingira wanamoishi. Lakini kinachofikirisha na kufurahisha katika hii mada ni kuwa wengi wenye IQ za juu wanakuwa bora katika hesabu, kigezo kimojawapo kizuri cha kufikiri na kuelewa haraka...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mengi akava jarida la Fobres Africa la July 2014

    Ukiangalia juhudi za Reginald Mengi miaka ya tisini mwanzoni alivyojishughulisha na SKUVI inatia moyo sana. Sote tunajua kuwa kufanikiwa kibiashara ambapo wengi tunakutafsiri kama kupata utajiri hasa katika nchi zetu hizi sio kitu rahisi bila 'kuvunja miko', lakini kwa Mengi sina uhakika kama...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya uumbaji

  7. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya uumbaji

  8. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya uumbaji

  9. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya uumbaji

    ndio kama anavyoonekana
  10. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya uumbaji

  11. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya uumbaji

    Huyu ngedele amepatikana katika hifadhi ya wanyama Timbavati Game Reserve iliyoko hapa hapa barani kwetu kwenye mipaka ya Mozambique na Africa ya Kusini. Japo ni picha kama zingine lakini kwa undani inatufundisha mengi kama binadamu! Fuatilia zaidi kwenye huu ukurasa. Albino ververt monkey
  12. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe aitupia lawama TRA

    "Huwezi kusema kufanya kazi kila siku watahitaji kuongezewa fedha, hapana kwani wanalipwa fedha nyingi. Nitaendelea kufanya mawasiliano nao kuona ni jinsi gani suala hili tunaweza kulimaliza." Dar es Salaam. Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameitupia lawama Mamlaka ya Mapato Nchini...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Most muscular dog in the world....!!!!

    Sijui ni sehemu gani tunaweza kuwapata huku kwetu Afrika maana hata huyu na dalmatian nao wanaonekana ni mkubwa!
  14. R

    JamiiForums Tanzania We si unaona kingereza dili..ebu msome jose chamelion

    katika suala la lugha kwa sasa duniani tunaaswa kujua lugha za asili au lugha za mama huku tukijifunza na lugha angalau moja ya kimataifa ili kuweza kuwasiliana na watu wengi zaidi kadri tuwezavyo. Na sio ajabu Jose Chameleone anaelezea mafanikio yake kutokana na Kiswahili huku akitumia lugha ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mbinu Kufukuza Nyoka mashambani

    Kuna sehemu nimeona pia wanasema kuwa ukiupanda kama sehemu ya bustani unasaidia kuzuia mbu wasikaribie hilo eneo.
Back
Top Bottom