Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,558
sasa bajeti ya chakula ya huyo dog kwa mwaka unaweza jenga hospitali na shule hapa bongo
ukute pia taalam la taekwando na judo
kabali ya mapaja au??
Hahah unataka afukanye kitu hamna.
Tehe tehe teheee,hiyo kabali itakuwa ya mkiani.Hako nikikapiga kabali moja lazima kazime.
Hako nikikapiga kabali moja lazima kazime.
Tehe tehe teheee,hiyo kabali itakuwa ya mkiani.
Tehe tehe teheee,hiyo kabali itakuwa ya mkiani.
madame B,unamaanisha HALI YA HEWA TATA atakayokutana nayo KWAPANI ndio itakayomfanya azimie?au maguvu yako?
Hahahaa we Mc Tilly Chizenga, huku hakuna hali tata ya hewa huku atakutana na akina Nivea, Midnight Fantasty na akina Victoria Secret....miguvu yangu ndio itamfanya apoteze uelekeo.
Mbona simple? Ukikutana nalo uso kwa uso unaling'ata tu!Jibwa hili ambalo linamilikiwa na jeshi la Russia ndio the most muscular dog in the world. Ebana hili hivi unakutana nalo uso kwa uso inakuaje?
View attachment 112189
Hahah, big like kwenye kitu cha Victoria's secret
Kisha tunashushia na ulanzi.