Huyu ngedele amepatikana katika hifadhi ya wanyama Timbavati Game Reserve iliyoko hapa hapa barani kwetu kwenye mipaka ya Mozambique na Africa ya Kusini. Japo ni picha kama zingine lakini kwa undani inatufundisha mengi kama binadamu!

Fuatilia zaidi kwenye huu ukurasa.
Albino ververt monkey

Fuatilia zaidi kwenye huu ukurasa.
Albino ververt monkey