Recent content by rutegeramisi gwategera

  1. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania TANESCO yasaini mkataba wa kuzalisha Umeme Jua MW 150 Kwa Bilioni 275. Waziri Makamba apiga marufuku mauziano ya Umeme kwa Dola

    Kiukweli umeme wa maji ni janga kwenye hili la umeme wa Jua kama siyo siasa Waziri apewe maua yake. 275 billion ni hela ndogo
  2. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CCM watu huuliza atakuwepo msanii gani. Mikutano ya CHADEMA watu huuliza kama Tundu Lissu atakuwepo

    Ukweli humweka mtu huru mtu wa kubatiza amesema
  3. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

    Hii haituhusu inahusu wazazi na wenye shule
  4. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania Msaada:Vifaa vya Ujenzi

    Mkuu hiyo ni kazi usitake vya bure lipa hela wataalamu wakufanyie quotation (BOQ) hii itakusaidia Kama umeweza kujichanga hautashindwa kulipa laki 1.5 au 2 kwa mtaalamu ili akuandalie boq kiongozi lazima uwe na mchoro.
  5. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashine ya kufyatulia tofali ya umeme

    Watafute hao wauzaji
  6. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutengeneza Ghala la Chuma (Steel Structure) zipoje?

    Sasa kila kitu mnataka bure hii ni kazi kubwa mnataka wataalamu tuishi vipi? Mnataka wataalam wote tucheze kamali tusaidiane tusitake bure maana wengi tunalipa kodi kwa kazi hizi kuweni wazalendo changia uchumi wa nchi kwa kufanya kazi na wataalamu na taasisi zinazolipa kodi. Kama bado...
  7. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania TANZANIA: Turekebishe la Ustaafu wa Siasa!

    Hii mada ilipotezewa kwasababu wengi waliomo facebook ni vijana walio katika ajira wameshiba hawajui kuhusu kesho mevimbiwa na leo, Siku ikifikia umri wa kustaafu watakumbuka mda umewaacha
  8. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania Amwagiwa uji wa moto usoni na Mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

    Jamaa alishopona sema ngozi ya kichwa imekuwa nyeusi na hakuna hata unywele
  9. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ramani ya nyumba

    Check pm
  10. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdhamini kwa mkataba maalum

    Haya makosa yalini gharimu kuwa makini sana unapofanya investment uwe tayari una uhakika wa kukamilisha vinginevyo hata ulichokianzisha kitaharibika bure
  11. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkoa wa Mbeya?

    Mbeya ina matapeli wengi kwa sasa utapeli umehamia kwenye dini na gospel pale hakuna cha Mungu wala nini
  12. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabasi ya Tanga yana vyoo na ya Kigoma hayana vyoo

    Waha siyo wastaarabu ukiwawekea vyoo uwawekee na mabunzi au karatasi ngumu najaribu kuwaza ustaarabu wa waha. Waha acha wapande treni huu ustaarabu wa luxury zenye vyoo ndani bado
  13. rutegeramisi gwategera

    JamiiForums Tanzania Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

    Panya road kwa kuwa na wao wanaua Polisi iliwakamata iwaue tu
Back
Top Bottom