TANZANIA: Turekebishe la Ustaafu wa Siasa!

Pale movenpick, msekwa aliambiwa jambo la kustaafu kwenye mdahalo si mlimuona alivyokuwa mkali?
 
Lakini hili jambo kwa upande mwingine linatengenezwa na sisi vijana..,nadhani taasisi za vijana ndani ya vyama vya siasa zikiwa na vijana independent na wawajibikaji kwa maana hawakuwekwa kwa ajili ya manufaa ya viongozi wa juu wangekuwa na uwezo wa wa kuwanyooshea vidole viongozi wastaafu watulie ili hizi shughuli za kuhamasisha au kampeni zifanywe kwa uratibu wa vijana zaidi viongozi wa juu wawe washauri na wastaafu watulie wale pensheni zao..! Naamini zaidi katika kujenga taasisi za vijana zenye nguvu na influence katika maamuzi makubwa ya kitaifa kwa manufaa ya Taifa..
 
- Heshima mbele wakuu wote JF, baada ya muda mrefu sana tupo wote tena unajua mishe mishe ya maisha.

Leo ya ustaafu kutoka kwenye siasa zetu Tanzania, I mean tufike pahali tujikite as a nation kulitengeneza hili la Ustaafu kutoka kwenye politics, hatuna mazingara yanayofaa as the results Wazee wetu wengi hawataki kustaafu ni kwa sababu wanaogopa wataenda wapi? Leo kule US kina Condoleeeza Rice, Cohen, Kissinger, wamestaafu siasa na wamerudi kwenye professional zao za Ualimu pamoja na kulipwa posho nzito wanapotoa hotuba kwenye midhahara. Hivi karibuni Rais Kaunda, alikuwa anafundisha Boston College, wamemlipa vizuri tu as of their standards na sasa naamini yupo sawa sana kuliko alivyokuwa kabla ya kwenda kufundisha tena kazi yake ya zamani.

- My point ni kwamba panahitajika a serious National agenda au Kipengele kipya kwenye katiba cha kusimamia Ustaafu wa Wazee wetu kutoka kwenye siasa na kuwahakikishia comfortability na kuwezeshwa pamoja na heshima, ili wakitoka kwenye politics zetu warudi walikokuwa kabla, kama Udakitari, kama ni ualimu, Sheria hili linahitaji nguvu ya Taifa kulisimamia, ama sivyo hii vita kali iliyopo sasa ya kuingia kwenye uongozi wetu wa Siasa za taifa haitapungua karibuni na ndio chanzo cha siasa za majitaka na makundi, ambazo zinalitafuna sana hili taifa tunaishia kukosa viongozi bora wengi kwa sababu ya Vita kali ya kuingia na wasiotaka kutoka, uchaguzi ukiisha kunabaki makovu na majeraha makubwa sana mpaka hatuwezi kusameheana kisa simply hatuna pengine pa kwenda na tulishaamini kwamba nafasi tulizonazo ni zetu milele kumbe ni za wananchi na infact ni za Taifa na ni haki kwa kila mwananchi kugombea!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

Field Marshall Es: WAZEE WA SAUTI YA UMEME!

Zamani ulikuwa na uchungu na nchi, W. J. Malecela, nini kimekupata.

Vipi kuhusu utapeli uliofanya?
 
Last edited by a moderator:
432298_4694578038896_1219583700_n.jpg

Siasa za Tanzania ni unafiki mtupu!!!
 
Kama mzee Tinga tinga! Hadi uzee analea matoto yanakuza matumbo lakini akili ya kubwa jinga!
 
- Heshima mbele wakuu wote JF, baada ya muda mrefu sana tupo wote tena unajua mishe mishe ya maisha.

Leo ya ustaafu kutoka kwenye siasa zetu Tanzania, I mean tufike pahali tujikite as a nation kulitengeneza hili la Ustaafu kutoka kwenye politics, hatuna mazingara yanayofaa as the results Wazee wetu wengi hawataki kustaafu ni kwa sababu wanaogopa wataenda wapi? Leo kule US kina Condoleeeza Rice, Cohen, Kissinger, wamestaafu siasa na wamerudi kwenye professional zao za Ualimu pamoja na kulipwa posho nzito wanapotoa hotuba kwenye midhahara. Hivi karibuni Rais Kaunda, alikuwa anafundisha Boston College, wamemlipa vizuri tu as of their standards na sasa naamini yupo sawa sana kuliko alivyokuwa kabla ya kwenda kufundisha tena kazi yake ya zamani.

- My point ni kwamba panahitajika a serious National agenda au Kipengele kipya kwenye katiba cha kusimamia Ustaafu wa Wazee wetu kutoka kwenye siasa na kuwahakikishia comfortability na kuwezeshwa pamoja na heshima, ili wakitoka kwenye politics zetu warudi walikokuwa kabla, kama Udakitari, kama ni ualimu, Sheria hili linahitaji nguvu ya Taifa kulisimamia, ama sivyo hii vita kali iliyopo sasa ya kuingia kwenye uongozi wetu wa Siasa za taifa haitapungua karibuni na ndio chanzo cha siasa za majitaka na makundi, ambazo zinalitafuna sana hili taifa tunaishia kukosa viongozi bora wengi kwa sababu ya Vita kali ya kuingia na wasiotaka kutoka, uchaguzi ukiisha kunabaki makovu na majeraha makubwa sana mpaka hatuwezi kusameheana kisa simply hatuna pengine pa kwenda na tulishaamini kwamba nafasi tulizonazo ni zetu milele kumbe ni za wananchi na infact ni za Taifa na ni haki kwa kila mwananchi kugombea!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

Field Marshall Es: WAZEE WA SAUTI YA UMEME!
Hii mada ilipotezewa kwasababu wengi waliomo facebook ni vijana walio katika ajira wameshiba hawajui kuhusu kesho mevimbiwa na leo, Siku ikifikia umri wa kustaafu watakumbuka mda umewaacha
 
Back
Top Bottom