Aisee kwanza inabidi umuombe msamaha mama yako kuanzia sasa na umshukuru kwa yote aliyokutendea maana ASINGEFANYA VILE BASI LEO HII USINGEKUWA KAMA ULIVYO kwa maana ya kupata elimu hadi kuwa na kazi trust me! Alikua ankuweka katika njia iliyonyoka!
Huyu Mondi kwanza katumia tafsida kutamka neno hilo afu neno lenyew la kihuni cdhan kama kwne kamusi ya kisw lipo na linamaana aliyoikusudia! Kwa hivyo cion kama anakosa kwa serikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.