Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

Nimekua katika mahusiano na mkaka mmoja for a while now...Kama mwaka,honestly speaking at first wakati tunaanza kujuana,sikua na nia nae kabisa..yaani hakua love at first sight,bt since nilikua single nikaamua tu kua nae...as days go by nikajifunza kupenda...kiukweli I regret,coz nilimpenda kupita Maelezo..this guy has always been busy aisee...yupo dar nipo dar bt kuonana miezi inapita...at first nilijua ni ubusy wa kawaida tu coz as u know guys around 27 to 30 ndo maisha yanajengeka...ok Lt me go to the point now..kuna siku nipo home tu..kuna mtu akanitxt kupitia WhatsApp,kumuuliza Nani hanipi jibu straight so I decided hii dial niisave siku akiweka picha ntaona!sasa bwana siku ya birthday ya mchumba ikafika,si mnajua tena WhatsApp mara mpenzi awekwe na kawish Kwa chini..I was just passing through my dials nikaona baby kawekwa na status juu happy birthday my sweetheart.. Kwenye ile namba iliyokua inanisumbua,I didn't waste time nikachukua ile namba...called it kupitia simu nyingine

Conversations ikawa hivi
Mim:hello mambo
Yey😛oa Nani
Mim:sorry nimeokota simu ubungo ya mtu inaishia na namba 42 kakusave sweetheart nimeona nikupigia uje ufuate simu coz nimeona ww ni mtu wake ya karibu.
Yey:yah ni mume wangu

Trust me hakuna anayetaka kusikia this words..honestly niliumia Sana..n thought to myself.,y did I even learn to love this guy..one thing I have learnt,mwanaume akiwa busy kupita Maelezo kuna something behind..aisee nyie wanaume mnaumiza Sana.Hvi kwanin mnakua hamna huruma,unamdanganya mtu mpka anakubali kukuweka moyoni n at the end of the day unajua kabsa hutokua nae!

Tatizo mtu akija na kusema kweli kwamba yeye hana kitu na nia yake ni kukugegeda tu halafu akuache huwa hamkubali... so mnadanganywa ili muachiwe papuchi
 
Sasa jaribu ndio utaona nitakavyokupiga mpaka uniulize mimi ni mwanamke au mwanaume na hamna atakayekuokoa.
SIPENDI UTANI KWENYE MAPENZI KWELI.

Mhhhh!!!!! hii maneno yako haiko sawa hata kidogo yaani hadi niulize we ni mwanamke au mwanaume, wakati umbile lako ni UREMBO mtupu.
Au siku hizi kuna warembo wa kiume?.
 
ipo dhana fulani hivi kua wanawake hua wanapenda sana kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli.

Sometimes anaweza akajua ukweli lakini still hatotaka kuambiwa huo ukweli bali atatamani aendelee kudanganywa

Kwa mawazo yangu naamini kua huyo jamaa hakua na namna nyingine zaidi ya kumdanganya tu

Na mimi nasema waendelee tu kuwadanganya kwa kua hakuna namna nyingine,

kama mnaambiwa ukweli na mnakaidi waendelee tu kuwadanganya
 
Mhhhh!!!!! hii maneno yako haiko sawa hata kidogo yaani hadi niulize we ni mwanamke au mwanaume, wakati umbile lako ni UREMBO mtupu.
Au siku hizi kuna warembo wa kiume?.

Ndugu usiombbe ukani cheat mimi UTAJUTA MAISHA YAKO YOTE MIMI NI MRS ACTION SIKUREMBI
 
Ndugu usiombbe ukani cheat mimi UTAJUTA MAISHA YAKO YOTE MIMI NI MRS ACTION SIKUREMBI

.khaaa!!!! si ngoma droo kwani nawe utakuwa unam-cheat Mr. ACTION, hakika sikuachi nakwambia hadi utalikumbuka jina la sayari iligunduliwa mwaka 2011 alafu now haijulikani iko wapi..
 
Ila nyie wanawake Mungu awasamehe tu ,mna force kupenda pasipokua na upendo
 
Eheee... We vp kwani kupanic uko,kumegwa nimegwe mie we upanic uko vepee...relax,ngoma bado ipo hajaondoka nayo wala kuacha nembo yake..

Wanawake jifunzeni kutokupenda saaana mpaka mnapindukia, mm nishaumia sana juu yq mapenzi na mpaka leo nikaapa kutompenda mtu tokea moyoni
 
Eheee... We vp kwani kupanic uko,kumegwa nimegwe mie we upanic uko vepee...relax,ngoma bado ipo hajaondoka nayo wala kuacha nembo yake..

Duh we kiboko ingawa hauishi majini..... nimekupenda bure japo si kimapenzi.... NADHANI UTAMEGWA SANA KWA KUAMINI KUWA HAWAONDOKI NAYO WALA HAWAWEKI NEMBO... NA IMANI HIYO NDO INAKUFANYA ULALAMIKE LEO
 
Pole sana dear...sijui wanaume wanaonaga ugumu gani kufunguka kwamba wameoa...sijui wamelogwaaaaaa. Kwani kama u km eoa si unafunguka tuu ili binti akiamua kuwa mchepuko ajue!!!
OLE WA MTU ANIDANGANYE HAJAOA NIJE NIGUNDUE....NITAMPIGA MPAKA KILA ANAYEMUONA ANAMSKIKITIKIA KWAMBA HUYU SIO KUPIGWA TUU NA KUBAKWA AMEBAKWA....SHEZIIIIII

Duuu nimecheka hatari. Tatizo ukiambiwa nimeoa hutotoa kipochi manyoya na wakati hicho ndio lengo Lake kuu.
 
Ubize wa hivo una maana yake, ni basi tu kufanya moyo kuwa mgumu....
Ukiona hivo ni heri ujiondokee mapema
 
Hako ka avatar nichakwako km yako njoo huku pm basi tuliwazane

Ila ushajifunza na makosa unashindwa na akili hata na maji dada maana hufata njia ifaayo na siyo ngumu kuchimba ili yapite
 
Kuna mwenzio nae katoka kulia hapa sasa hiv, watsup imemfanya kinyume na maumbile, kakuta conversation za mkewe na njemba za kutosha, mi nadhan itakuwa njema mkitaftana mkashare experience.
 
Hao ndo wanaume hawafai hata kuwekwa akilini, ukiingia tena usikae mzima jiegemeze tu hadi uone mwisho wake ndo uchague kukaa ama kunyanyuka.
 
Salama Jay wewe juzi juzi ulisema unataka mtu wa kuinjoy nae weekend?

Vip ulimpata?

Baada ya kuachana na huyo je umeshapata mwingine?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom