Recent content by runemo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnasema "tatizo siyo mtu, tatizo ni mfumo" mnasemaje sasa?

    Niseme tu hii inchi bado haijapata dawa ya matatizo yetu,hatuwezi kutegemea mtu,kwanza zitungwe shelia mfano katiba ya warioba hapo ndipo tutasema tumeanza kupiga hatu sio kwa kumtegemea mtu anayepambana na vidagaa wakati mapapa hayaguswi
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tumfahamu Mtakatifu/Saint Padri Pio

    Ukiwa muumini filani inabidi uwe kama chizi au mtoto mdogo,ingekuwa kwa mwafrika tungemuita mchawi,sababu mzungu tunamuita mtakatifu,MKWAWA alivuka mto ruaha huku akipita juu ya maji
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna hoteli ya kitalii inayolipiwa milioni 20 kwa siku Tanzania?

    Kuna hotel iko zanzibar,imejengwa chini ya bahari nazani ndio inalipwa hera nyingi kuliko hotel zote hapa Tanzania
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu ya pili: Huyu kaka nampenda, ila siwezi kumwambia

    Huwa naipenda sana picha yako
  5. R

    JamiiForums Tanzania Makonda kufanya mahojianao Clouds kuhusu yanayosemwa juu yake

    Una ueleo uelewa wako ni mdogo sana,ungejua maisha wanaoishi Watanzani ni kwa kundra za mwenyezi mungu hata hiyo kodi mnayowakamua mnawaonea achana na kuanza kuwasaka majumbani mwao
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni namna ya kukwepa hii aibu wakuu

    Coca-Cola ya baridi chupa moja changanya na chumvi ya unga kunywa,weka chumvi nyingi sana tumbo litakata ndani ya dk tano utakuwa fredhi
  7. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Sumaye wametumwa, Mbowe ni adui wa mabadiliko

    Tatizo
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu punyeto

    Hivi kuzini na mwanamke na kupiga punyeto kipi bora,
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu punyeto

    Nimekukubali mkuu
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kama kweli ushirikina ndio sababu kubwa ya ajali nchini Tanzania basi nitasafiri tu kwa miguu!

    Selikali ingewaamuru hao wamiliki wa mabasi waunde kampuni hayo yote yasingetokea,kuliko kila mtu kufanya biashara kivyake,nazani hilo lingesaidia kupuajali ajali
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume kama huyu unakimbilia nini ndugu?

    HataMimi nimeshangaa, Hata
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutazama picha/video za ngono ni hatari sana

    Valentina,huwa napenda sana kusoma michango yako
  13. R

    JamiiForums Tanzania Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani

    Hakuna kitu,wote ni walewale tu, unajua ada tunayolipa kwenye hayo mashule?sadaka mpe maskini anayehitaji msaada wa kweli unayemuona kwa macho yako
  14. R

    JamiiForums Tanzania History in the making: NASA’s Juno spacecraft arrives at Jupiter!

    Sio ndio nyie mlinyonga watu kisa wamesema dunia duara na nyie mkasema dunia iko kama meza,dini na sayansi vi vitu viwili tofauti
  15. R

    JamiiForums Tanzania History in the making: NASA’s Juno spacecraft arrives at Jupiter!

    Utakuwa unamatatizo wewe,au baadhi ya imani zimekuathiri,hujui kila kinachokuzunguka kilitokana na mwanasayansi
Back
Top Bottom