Makonda kufanya mahojianao Clouds kuhusu yanayosemwa juu yake

kwangu naamini rais alikosea makonda kupewa ukuu wa mkoa wa DAR. huyu muda mwingi anashinda kwenye vyombo vya habari akitoa matamko. kiongozi hapaswi kugawa watu bali kuwaunganisha. kwa makonda muda wote ni kugawa watu...
 
Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua kuwa Clouds Media ina wafuatiliaji wengi sana. Hivyo ni sahihi kwa RC kutumia media hiyo
Sasa mbona unatangaza wazi wazi kuwa budget ya serikali yako ni mbovu kiasi hata redio yetu ya umma iko zolfalhali na watu wanaikimbia kama kinyesi.
NI AIBU YA CCM
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameujulisha umma wa wana Dsm kuwa kesho saa 6 za mchana atakuwa kwenye studio za Clouds fm kujibu upotoshaji unaofanywa na anaosema wabaya wake kupitia mitandao ya kijamii. Ameeleza hayo kupitia akaunti yake ya instagram.

Maoni yangu; Mh Makonda hana haja ya kwenda media kutoa ufafanuzi wowote, anachotakiwa ni kufanya vitendo zaidi ndio yatakuwa majibu mazuri. Watu hawaridhishwi na matamko hasiyoweza kuyasimamia wala sio wote wanachuki za kiadui. Afanye vitendo zaidi kama boss wake.
bbffdccc05e7954bd142123a1360e9a2.jpg
 
Kile kituo kilichompa Shoga Airtime ifikie kipindi Serikali iache kabisa kuji associate nacho

Lizaboni tusaidie kufikisha ujumbe
 
Kwani TV zote yy ameona clouds tu kuna nini kinaendelea kati viongozi wetu haswa vijana na clouds media kikubwa tunataka kazi sio kila siku matamko na kauli zenye vitisho bila vitendo sijui tumefikia wapi khs mashoga sijui tumefikia khs omba omba mjini sijui tumefikia wapi khs kupanda boda boda bila Elements sijui tumefikia wapi khs walim kupanda bure sijui tumefikia wapi uvutaji wa sigara hovyo
 
Una ueleo
Habari wadau;

Kuna kundi la wanufaika wa uhalifu, matapeli, mashoga na wanufaika wake kwa kushirikiana na nyumbu na viongozi wao, wameanzisha propaganda chafu za kumdhihaki mkuu wetu bora ambaye anasafisha jiji lililokuwa limegeuzwa dampo la kila aina ya uozo.

Kuna watu maisha yao yote yalikuwa ni udalali na utapeli, Watanzania tujiulize hivi wewe kama ni mtu mwema makonda kafanya lipi baya? Rc makonda anamakusudi ya dhati ya kuliweka jiji safi na kwa hilo nauhakika atafanikiwa, asigeuke nyuma kamwe.

Ana mpango wa dhati wa kuwasaidia vijana kupata ajira na kuwatengenezea fursa mbalimbali, Je atawezaje Pasipo kuwa na Takwimu ya wasio na ajira? Wapinzani wanajuwa kabisa endapo atafanikiwa yote anayoyafanya, ni dhahiri kabisa upinzani utakuwa umekufa. Watuambie ni nani anafaa mwingine zaidi ya Makonda?

Eti sasa hivi wanasema bora ya aliyekuwa mkuu wa mkoa MECKY SADICK, Jiulize alipokuwepo mbona walimponda? Waogopeni hao wanafiki Makonda tunamwamini ataendelea kuziba mianya ya waharifu bila uwoga. Naomba mtambue kwamba Wapenda uharifu,wakwepa kodi na Mashoga hawapendezwi na utendaji wa Mkuu wetu mtukufu; MAKONDA GO! GO! GO! Wengi tukonyuma yako.

WALIOZOEA VYA KUNYONGA SASA HIVI VYA KUCHINJA KWAO NI HARAMU NI WA KUPUUZWA
uelewa wako ni mdogo sana,ungejua maisha wanaoishi Watanzani ni kwa kundra za mwenyezi mungu hata hiyo kodi mnayowakamua mnawaonea achana na kuanza kuwasaka majumbani mwao
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameujulisha umma wa wana Dsm kuwa kesho saa 6 za mchana atakuwa kwenye studio za Clouds fm kujibu upotoshaji unaofanywa na anaosema wabaya wake kupitia mitandao ya kijamii. Ameeleza hayo kupitia akaunti yake ya instagram.

Maoni yangu; Mh Makonda hana haja ya kwenda media kutoa ufafanuzi wowote, anachotakiwa ni kufanya vitendo zaidi ndio yatakuwa majibu mazuri. Watu hawaridhishwi na matamko hasiyoweza kuyasimamia wala sio wote wanachuki za kiadui. Afanye vitendo zaidi kama boss wake.
Mwambieni asitusahau na sisi wa fesibuku na twita kutufahamisha atakachosema.
 
Makonda mjanja sana,anadili na watu wasio na side effect kwake hata kwa 1% sijasikia wafanya biashara wakubwa na kati ambao watakua na effect dirct on 1 way or another
 
Back
Top Bottom