bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,667
Padri Pio kama anavyojulikana na wengi alizaliwa mwaka 1887 Italy akiwa ni padri wa kikatoliki,Maajabu ya Padri Pio...
Alipata majeraha ktk mikono yake yaliyofanana na yale ya Bwana Yesu(stigmata) ajabu yake yalikua yakitoa harufu nzuri ya perfume na hayajawai kuoza,alikua anaweza kuonekana sehemu mbili kwa wakati mmoja(bilocation) mfano dar then ukamwona Arusha,Ulikua ukienga kuangama kwake ukificha dhambi atakwambia dhambi flan umeacha na pia kuongea na Malaika wake mfano Angel Michael,Rafael na Gabriel.
Katika sala zake za kila siku alikua akiomba kushiriki mateso ya Bwana Yesu Kristu alipata homa kali ambapo alikua akiwekewa thermometer Inapasuka kutokana na joto kali Drs walishindwa kujua chanzo cha homa iyo.Alifariki mwaka 1968 huko Italy na kutanganzwa mtakatifu na Pope John Paul 2 mwaka 2002 Wakatoliki wengi wamekua wakimtumia katika maombi mbalimbali na kutoa ushuhuda wa kufanikiwa...
Huyo ndo Saint Padri Pio kwa kifupi sana.#Waweza ongeza pia jinsi unavyomfahamu Mtakatifu Padri Pio.