Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani

Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani

Wajinga ndio waliwao makanisa ni Roma, Lutheran, Anglikan Na Moravian lakini Manisa la MTU Kwa jina lake lazima mtoa sadaka uumie
 
watu wengi hufikiri ukitoa sadaka kanisan ndio unabarikiwa sana,
Mm huwa naona sadaka nzuri ni ile unayotoa kuwasaudia watu weny shida mbala mbali.
Hebu jiulize. Umemuacha jirani yako hana chakula halafu umeenda kanisan kutoa. Hiv unafikiri Mungu atakuona?
Wachungaji wengi siku hiz wababaishaji tu, mahubir yao mengi ni kutoa sadaka na kuhubiri utajiri. Wengine km waganga wa kienyeji wanatabiri kbsa.
Ukiwaangalia weng wao wanapenda kupokea kuliko kutoa, ni wachache sana wanaowasaidia watu wao
 
Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.

Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.

Kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.

Asanteni nawatikia EID njema
Wajinga ndio waliwao. Na mpaka mtembelee magoti ..wa ajabu sana, muache upuuzi wa kukusanyika kwenye vikanisa vyenye brands za majina ya watu, kanisa haiwezi kuwa mali ya mtu na familia yake bwana ..hata hili nalo mpaka mfundishwe?
 
Hilo kanisa lako linatakiwa kuwa na baraza la walei ambao ni kama wakurugenzi wa hilo kanisa lenu.

Wanamuongoza na kumshauri mchungaji kwenye maswala yote ikiwa ni pamoja na fedha.
 
Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.

Asanteni nawatikia EID njema
toa ndugu ulichonacho bwana anakuona mpk moyoni kwakoo
 
Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.

Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.

Kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.

Asanteni nawatikia EID njema
Ndio umegundua leo?
 
Mdau hili jambo la sadaka si jepesi sana kwa nionavyo Mimi. Huu ni mtazamo wangu,Sadaka ni swala la imani zaidi na pale itolewapo kwa imani inamaana kunatarajio unalo baada ya utoaji Wako. Kwa hakika ukitoa na ukapata tarajio lako huwezi acha toa sadaka.
Pia kunanamna unaweka nadhiri ( sadaka unayoitoa kwa ahadi kabla ya kuwa nayo mkononi ) kwamfano Yesu ukinisaidia nikapata kazi nitakutolea mshahara wangu wa kwanza wote,au Yesu ukinisaidia nikapata mtoto katika ndoa yangu baada ya miaka sita kupita bila mtoto nitafadhili mtoto yatima katika elimu ya kiwango flani na Yesu Kristo aliyehai akakufanikisha utatakiwa kufanya kama ulivyokiwa umeweka nadhiri yako kinyume cha hapo unawezapata shida,sasa katika hali kama hii si rahisi kukimbia jambo hili la sadaka.
Namalizia hivi sadaka unampa Mungu kadiri ya atakavyokuongoza lakini mpokeaji ni mtu ( mtumishi wake ) ,na sadaka isipotolewa kama sheria ndo unakuwa huru katika utoaji wako. Usihangaike kujua sadaka uliyotoa imeenda kutumika wapi,vipi na nani lamsingi sana sikuzote tafuta je nimepata matunda niliyokuwa nayakusudia ,hii itakufanya uendelee kutoa na kutoa aina tofauti za sadaka kadiri utakavyobarikiwa na kuongozwa,usiacha kumtolea Mungu aliyehai .
Kasome kitabu chote cha Malaki kitakusaidia.

Wasalaam
 
Wewe hujui maana ya sadaka. Wewe hutoi bali unawapa au kuweka sadaka
 
Unavyofanya hivyo sasa unadhani mchungaji atapata wapi pesa ya kuweka mafuta kwenye hizo gari zake 3?
 
Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.

Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.

Kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.

Asanteni nawatikia EID njema
Na wao watagoma kukuzika,kukuoza na kukusuluhisha
 
Hakuna kitu,wote ni walewale tu, unajua ada tunayolipa kwenye hayo mashule?sadaka mpe maskini anayehitaji msaada wa kweli unayemuona kwa macho yako
 
Tatizo sio sadaka yako wala matumiz ya mchungaj
Shida ni kanisa
Hakika halina kanuni au sheria hslina mipaka wa la ethics za kiroho na kibinadamu
 
Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.

Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.

Kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.

Asanteni nawatikia EID njema
Hiyo ni roho ya wivu,choyo na kijicho wewe mchungaji akibarikiwa kuna shida gani.Hupaswi hata siku moja kuacha kumtolea Mungu ya mchungaji atajua yeye na Mungu wake na pia kusaidia yatima si jukumu la mchungaji tu kwa sadaka zako pia unatakiwa usaidie yatima regadless umetoa na sadaka Mungu anakubariki wewe peke yako unapotoa kubariki wengine kwani wewe hupendi kumsaidia mtu akafanikiwa?Hiyo roho uliyojiwekea ni ya kuzimu mbona watu wanatoa sadaka watoto wao na ndugu zao wawapendao bila kulalamika kuwa watapata wapi wengine sembuse wewe hiyo elfu kumi ambayo utaitafuta na kuipata ingine .Kwani unadhani ni hela yako pekee ndo inamnunulia mchungaji gari?Acha kutoa uone kama hataendelea kubarikiwa.Neno la Mungu linasema nitambariki akubarikie na nitamlaani akulaanie na heri kutoa kuliko kupokea.Kwenda mbinguni si mchezo na wala hakuhitaji philosophy bali ni kufanya atakalo muumba wako.Kasema toeni zaka kamili glalani sasa wewe unaedhani zaka ni kumtajirisha mchungaji endelea kulikumbatia hilo pepo laumaskini niulize nikwambie.Watu wanatoa mpk magari kwa watumishi sembuse hiyo elfu moja yako.Shame on you.
 
Natumaini wote ni wazima wa afya tele,dukuduku langu ni kuhusu utoaji sadaka makanisani nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya,kitu kilichonisukuma nisitoe sadaka ni baada ya kumuona mchungaji wetu kununua magari 3 kwa mkupuo.

Mwezi 4 alinunua LAND CRUISER V8,mwezi 5 akanunua TOYOTA BREVIS,juzi kati mwezi huu wa saba nimemuona mtoto wa mchangaji yupo ndani ya BMW mpyaaa.Nimejiuliza sana huyu mchungaji amepata wapi pesa ya kununua magari yote kwa mkupuo hivi? Jibu nililopata ni sadaka zetu ndizo zinazomfanya mchungaji atanue anavyopenda,waumini masikini choka mbaya kumbe tunamfaidisha mchungaji na familia yake.

Kuanzia leo sitoi tena sadaka wa mchango wowote ule ni heri ni dundulize hela mwisho wa siku nikawasaidie yatima na wagonjwa mahospitalini kuliko kuzidi kuwanufaisha wachungaji.

Asanteni nawatikia EID njema
Inategemea na kanisa unalosali maana kuna makanisa ya watu binafsi kama yakina Mzee wa upako, gwajima etc hiyo huwez kumzuia asinunue V8 wakati biashara yake inaenda vizuri hiyo endelea kutoa tu.
Ukishindwa basi kuna makanisa halisi ambayo mfumo wake niwa kitaasisi kama SDA, Katoliki, AICT etz
 
usitoe pesa kwa wapiga kelele peleka pesa kanisa katoliki linahudumia wana wa mungu. huko kwingine unatajirisha wapiga dili tu
 
Inategemea na kanisa unalosali maana kuna makanisa ya watu binafsi kama yakina Mzee wa upako, gwajima etc hiyo huwez kumzuia asinunue V8 wakati biashara yake inaenda vizuri hiyo endelea kutoa tu.
Ukishindwa basi kuna makanisa halisi ambayo mfumo wake niwa kitaasisi kama SDA, Katoliki, AICT etz
tatizo wanapeleka pesa kwa wapiga dili wanaojiita mungu na wao wanavimba vichwa eti wanamtolea Mungu. wonders will never end.
 
Back
Top Bottom