Recent content by Rumburiyo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuwauzia kanisa na msikiti eneo moja

    Abu Dhabi kuna sehemu nimepasahau jina ila kuna msikitini na makanisa mawili eneo moja na msikitini unaita msikiti wa bikiria Maria mama yake Issa Wa juzi watanikumbusha vizuri
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zangu, haya ni mambo saba (7) ambayo wanaume wengi hawayapendi

    Serikali ikupe ulinzi
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Me R 02/01/ Ke R26/11 Nami Naomba hiyo
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo kuukosa mchezo wa Manchester Derby, United wapata presha

    Naomba link ya mechi hii tafadhali
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais ni kitu cha kwanza katika Taifa lolote lile

    Fikiria zaidi ya hapo
  6. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbwa anauzwa

    Onyesha picha ya mama yake Kwanza ndiyo tufanye biashara isije kuwa umemuokota barabarani tu hapo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Gari langu lainatatizo la kutikisika (shake) nikitembea kuanzia spidi 60

    Kagua pia tairi zako huenda zimevimba au zimeisha muda wa matumizi
  8. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO kata ya Chanika mtaa wa kidugalo mnatubagua Wananchi

    Fatilieni Je malalamiko yake ni ya kweli? Na mchukue hatua siyo mpaka aje kiongozi wa siasa awatumbue ndiyo mfatilie Niwakumbushe tu Makamu wa Rais ni mkazi wa chanika ipo siku atakuja huku tutawasemea
  9. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO kata ya Chanika mtaa wa kidugalo mnatubagua Wananchi

    Mnatia sana hasira nyie basi tu. Nendeni pale Chanika kwenye ofisi yenu mpya mkaone wananchi wanavyosota pale Kwa ujumla Tanesco Chanika mnashida sana Mtaa Zogoali Karibu na kanisa kikosi cha Injili tanzania
  10. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO kata ya Chanika mtaa wa kidugalo mnatubagua Wananchi

    Tanesco Tanesco kwani hii nchi kuna wengine hatustahili kupata umeme? Mlileta nguzo mkaweka pale kwa mama rashidi karibu na kanisa la kikosi cha injili tanzani. Zilivyokuwa zinaondoka mpaka zinatia hasira.
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miujiza: Atangaza kukimbia kutoka Kigoma hadi Dar kwa miguu ndani ya siku 18

    Inawezekana we mpe moyo ajaribu Akishindwa wakati mwingine Atafanya vizuri. Tuache roho za kimasikini kukwamishana kwenye mambo ambayo we mwenyewe hujawahi hata kujaribu km 5 tu
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF, Benchi la Ufundi la Taifa Stars huko CHAN 2021 nimeshamaliza Kazi kwa Kikosi hiki Namibia leo na Guinea Wiki ijayo wanakufa!

    Tuvute sibra tuone kama manyanga yako yanakuambia ukweli au yatafeli leo
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kashfa zinazomkabili Mhe. Aeshi Mbunge wa CCM Sumbawanga Mjini

    Nitumie
  14. R

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada: Dawa ya kupunguza uzito/unene/kitambi

    Fanya mazoezi tu acha uvivu
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tuwe Wakweli: Kama Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu wasingeenda Bungeni ruzuku ingepungua sana chama kingeendeshwaje?

    Naomba kufahamu utaratibu wa viti Maalumu kwenye Chama ukoje? Maana nionavyofahamu Wanaomba na kupigiwa kura kabla hata ya uchaguzi sasa imekuwaje hawa tena au ndiyo waliopita mwanzoni kabla ya kukosa kwenye majimbo?
Back
Top Bottom