TANESCO kata ya Chanika mtaa wa kidugalo mnatubagua Wananchi

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Aug 9, 2020
376
735
Habari wakuu, Mimi leo naomba nitoe kero yangu kwa ndugu zetu wa TANESCO huku Chanika. Katika mtaa wa kidugalo tumegawanywa kwa mashina, Sasa kutokana na baadhi ya mashina hatukumpa kura mwenyekiti wetu wa mtaa wakati wa uchaguzi wa ndani, hivyo wakati TANESCO wanaleta umeme huku wakapokea maagizo toka kwa mwenyekiti kwamba shina hili na hili sitaki wapate umeme.

Kuhusu huyu mwenyekiti sisi hatuna shida nae maana tunajua yeye ndo kirusi katika maendeleo ya mtaa wetu, Tatizo ni Tanesco kukubali kufuata maagizo hayo mwenyekiti.

Tunamwomba diwani kata ya Chanika, Mbunge, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, waziri wa nishati na madini au hata waziri mkuu maana tunajua yeye ni mfatiliaji mzuri wa keroe za wananchi na hata kama yupo bize kiasi gani yupo radhi kuacha shughuli zake na kuja kusikiliza kero za wananchi wakee. Tunaomba mje huku kututatulia kero yetu hii ilietuweze kwenda sambamba na kasi ya mama yetu Samia katika kuleta maendeleo ya nchi yetu.

Naamini litawafikia hili mjee mjionee ubaguzi wa waziwazi hukue kwetu Chanika kidugalo.
 
Wengi tulidhani ujio wa Tanesco Chanika utamaliza matatizo kibao ya eneo husika. Haijawa hivyo. Hata hakuna mwelekeo chanya.

Hili la Kidugalo ni kama mwendelezo wa suala kama hilo Vikongoro Chanika. Jiulize Nyeburu wapate umeme wa REA na Vikongoro wakose! Vigezo gani vinatumika? Kigezo ni m/kiti mkuda wa Vikongoro basi. REA wakafuata upuuzi wake na sasa Tanesco Chanika pia!.

Kuna habari kuwa REA Vikongoro ni mradi wa m/kiti Vikongoro na Tanesco Kisarawe/Chanika!!!
 
Habari wakuu, Mimi leo naomba nitoe kero yangu kwa ndugu zetu wa TANESCO huku Chanika. Katika mtaa wa kidugalo tumegawanywa kwa mashina, Sasa kutokana na baadhi ya mashina hatukumpa kura mwenyekiti wetu wa mtaa wakati wa uchagzi wa ndani, hivyo wakati TANESCO wanaleta umeme huku wakapokea maagizo toka kwa mwenyekiti kwamba shina hili na hili sitaki wapate umeme.

Kuhusu huyu mwenyekiti sisi hatuna shida nae maana tunajua yeye ndo kirusi katika maendeleo ya mtaa wetu, Tatizo ni Tanesco kukubali kufuata maagizo hayo mwenyekiti.

Tunamwomba diwani kata ya Chanika, Mbunge, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, waziri wa nishati na madini au hata waziri mkuu maana tunajua yeye ni mfatiliaji mzuri wa keroe za wananchi na hata kama yupo bize kiasi gani yupo radhi kuacha shughuli zake na kuja kusikiliza kero za wananchi wakee..Tunaomba mje huku kututatulia kero yetu hii ilietuweze kwenda sambamba na kasi ya mama yetu Samia katika kuleta maendeleo yae nchie yetu.

Naamini litawafikia hili mjee mjionee ubaguzi wa waziwazi hukue kwetu Chanika kidugalo.
Tafadhali tambua kuwa mfumo wa utendaji wetu wa kazi haendi hivyo, maeneo yote nchini yanaelendelea kupata huduma ya umeme kwa awamu tofauti

Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Tanesco Tanesco kwani hii nchi kuna wengine hatustahili kupata umeme?
Mlileta nguzo mkaweka pale kwa mama rashidi karibu na kanisa la kikosi cha injili tanzani. Zilivyokuwa zinaondoka mpaka zinatia hasira.
 
Mnatia sana hasira nyie basi tu.
Nendeni pale Chanika kwenye ofisi yenu mpya mkaone wananchi wanavyosota pale
Kwa ujumla Tanesco Chanika mnashida sana
Mtaa Zogoali
Karibu na kanisa kikosi cha Injili tanzania
 
Toa ushirikiano wa taarifa kamili uhudumiwe tafadhali.jm
 
Tafadhali tambua kuwa mfumo wa utendaji wetu wa kazi haendi hivyo, maeneo yote nchini yanaelendelea kupata huduma ya umeme kwa awamu tofauti

Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Ndugu TANESCO naomba nikwambie tu kwamba kama mna nia ya kutusaidia basi mje kata ya Chanika mtaa wa kidugalo mtajionea wenyewe umeme ulivyotolewa kimafungu....yaani mtaa huu wapewe, mtaa huu warukwe, Ajabu mtaa unaorukwa zianapitishwa nguzo za umeme mkubwa kwao kwenda mtaa wa pili wanaostahili kupewa.

Swala la jina na namba ya simue nafkiri halitakusaidia, kitachokusaidia Kama kweli mmedhamiria kufuatilia basi njooni Chanika kidugalo mjionee maajabu ya Musa.

Ajabu nikuwa shirika kubwa kama TANESCO eti kutumika kisiasa na kufuata maelekezo ya wenyeviti wa mtaa.
 
Tafadhali toa ushirikiano wa taarifa kamilo huu ndio weledi kwa kuwa lalamiko lisilo na taarifa kamili litafanyiwaje kazi? Je unaweza kutoa tuhuma bila ushirikiano? Tunataka kuanza kukusikiliza na kukuhudumia
 
Tafadhali weka taarifa tulizokuomba Jm
Taarifa kamili:

Jina mkazi wa Chanika kidugalo
Namba ya simu: Confidential
Kanda: Mashariki na pwani
Mkoa: Dar es salaam
Wilaya: Jijini Ilala
Kata : Chanika
Mtaa: Kidugalo
Shina: Namba 1

Nafkiri kwa taarifa hizo utalipata eneo husika.
 
Mnatia sana hasira nyie basi tu.
Nendeni pale Chanika kwenye ofisi yenu mpya mkaone wananchi wanavyosota pale
Kwa ujumla Tanesco Chanika mnashida sana
Mtaa Zogoali
Karibu na kanisa kikosi cha Injili tanzania
Mkuu sisie pia tumesha andamana vya kutosha kwenda hapo ofisi zao mpya, ila nao hawana msaada....Tunaomba viongozi wa juu mkipata hizi taarifa mje huku Chanika mjionee. Eti tunakaa jijini alafu umeme hakuna it's shame.
 
Mnatia sana hasira nyie basi tu.
Nendeni pale Chanika kwenye ofisi yenu mpya mkaone wananchi wanavyosota pale
Kwa ujumla Tanesco Chanika mnashida sana
Mtaa Zogoali
Karibu na kanisa kikosi cha Injili tanzania
Mkuu sisie pia tumesha andamana vya kutosha kwenda hapo ofisi zao mpya, ila nao hawana msaada....Tunaomba viongozi wa juu mkipata hizi taarifa mje huku Chanika mjionee. Eti tunakaa jijini alafu umeme hakuna it's shame hata wa Tandaimba wanatushangaa.
 
Maskini
Poleni sana
Daah, ndo hivyo ndugu tunapata shida hata kuchaji simu upate mawasiliano imekuwa shida. Paka mwaka huu 2021 eti bado kuna watu tunalia umeme hapa Sar es salaam. Vipi wa mikoani itakuwaje?
 
Taarifa kamili:

Jina mkazi wa Chanika kidugalo
Namba ya simu: Confidential
Kanda: Mashariki na pwani
Mkoa: Dar es salaam
Wilaya: Jijini Ilala
Kata : Chanika
Mtaa: Kidugalo
Shina: Namba 1

Nafkiri kwa taarifa hizo utalipata eneo husika.
Tuma namba ya simu inbox tafadhali
 
Back
Top Bottom