Recent content by Rumburia

  1. R

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) imeanza rasmi kukata 15% kwenye mshahara

    Yani tatizo sio kukata, ukikopa kukatwa lzm unajua kutakuwepo tu, lkn utaratibu wa ukataji ndio muhimu ili maisha mengine yaendelee. Maana bado tunaendelea kuishi, tukatwe kiasi ili tuweze kufanya mambo mengine
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wafanya mazoezi

    Hahahahaha mtoa mada una Majibu ya kila swali kweli umejipanga
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wafanya mazoezi

    Kwa kweli mtoa mada mie nikimaliza zoezi baada ya dakika kadhaa nakunywa maji ya uvuguuvugu yenye asali napo ni hatar?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

    Mshana je kwa mama mjamzito anatumia tu? Au kuna madhara tahadhari yoyote?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Video iliyonitoa machozi ya mwanadada aliyedhalilishwa lodge, hatimaye wahusika wakamatwa na polisi

    Soma uelewe nilikotolea taarifa ambako pia sio pa kuaminika kwasababu hakuna ushahidi wa mhusika mwenyewe Bali wachangiaji ambao hatujui uhusiano wao na mtendewa.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Video iliyonitoa machozi ya mwanadada aliyedhalilishwa lodge, hatimaye wahusika wakamatwa na polisi

    Mie hiyo video nimeiona kwa Mange. Kwa Maelezo ya baadhi ya wachangiaji wanasema eti huyo Dada alikua ni tapeli wa Facebook, anawasiliana na mwanaume kwa Makubaliano ya kukutana akishatumiwa nauli anakwepa haendi. Akamfanyia hivyo jamaa mmoja zaidi ya Mara mbili. Kwahiyo yule aliyetapeliwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania University of Dodoma mnajishushia hadhi yenu

    Wadau naona mnamlazimisha mtoa mada kua chuo kitakua St. John's university of Tanzania. Wakati yeye hajasema hivyo. Yeye cha kwake kinaitwa kama alivyotaja.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Miriam Odemba na majigambo kipindi cha Mkasi

    Mie binafsi sikupenda KBS tuache ushabiki confidence inatakiwa iendane na unachoulizwa na iwe na mipaka.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi NACTE

    Samahan naomba kuuliza kwamba eti saiv ualimu mwisho wa kuchaguliwa ni GPA ngapi. Nina mdogoangu ana 1.4 nili apply lkn hamna kitu.
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba

    Vigezo vyovyote vinavyohitajika mtu uwe navyo kwa hii opportunity hamna?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa mawazo unahitajika kwa wale ualimu primari nacte

    Ndugu matokeo yametoka kwani? Tujulishe ulipoangalizia ili nasie tuangalie
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ina maana wanawake wazuri hawana sifa ya kuajiriwa serikalini, ni private organizations tu?

    Kuwa mrembo itategemea na wateja wako unaowafanyia kazi. Sasa mie mwl.niko matombo huko, wateja wangu wamekaa chini madawati hayatoshi. Nikivaa brazilian hair inakuja kweli?
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi na nyie wenzangu wapenzi wenu wakiwa wanaumwa huwa wanadeka kama huyu wangu?

    Tatizo mie naona ni shati la UK. Sasa kwavile unajua anadeka basi kipindi km hicho jitahid shati lako la UK usiwe unavaa. Vaa ya Kariakoo mpk apone.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Naomba kuangaliziwa hii s1808/0039
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NSSF

    Walimu hapa hatuna dili
Back
Top Bottom