hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
1: Kama unaamka asubuhi kwenda kukimbia na kwasababu ubongo unakuwa umekauka unashauliwa kunywa maji ili kuuchangamsha ubongo na usipo fanya hivyo ukienda mazoezini unakuwa mvivu kufanya mazoezi.
2: Unapofanya mazoezi usitumie viatu vyenye soli ngumu kwasababu ukitumia kiatu chenye soli ngumu migumu inakuwa inakaza na inafikia wakati misuli ya miguuni inaanza kuuma.
kwahiyo kiatu chenye soli inayo nesa ndio kinafaa zaidi kwa kujenga misuli.
3: Unapofanya mazoezi usihemee mdomoni
kwani kwa kufanya hivyo kwa muda mrefu inaweza kukusababishia ugonjwa wa pumu.
4: Kama unakimbia unasikia kichomi kwenye moyo Mara kwa Mara jaribu uwe unaenda jimu kunyenyua vitu vizito kwani kwa kufanya hivyo itakusaidia kukaza misuli ya kwenye moyo.
5: na Kama unapenda kunyenyua vitu vizito ukifika zoezini usianze kunyenyua vitu vizito moja moja bila kufanya mazozi madogo ya kuupasha mwili. kwani kwa kufanya hivyo kwa muda mrefu inaweza kusababishia matatizo ya mfumo wa upumuaji.
6: Ukitoka kwenye mazoezi usile kitu chochote nyenye sukari ndani ya masaa mawili kwani kwa kufanya hivyo utakuwa umeharibu zoezi lote la siku nzima.
7: mwisho usifanye mazoezi kila Siku ili misuli iweze kupumnzika