Recent content by Ruhazwe JR

  1. Ruhazwe JR

    JamiiForums Tanzania JF Miss CHITCHAT 2012: VOTE for CHARMINGLADY

    Kitambo sana
  2. Ruhazwe JR

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Nakuhakikishia hakuna mvivu ataweza biashata ya Forex.
  3. Ruhazwe JR

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Hongera sana boss ONTARIO Mungu ni mwema mpaka sasa amekuwa nasi
  4. Ruhazwe JR

    JamiiForums Tanzania Njoo uchimbiwe kisima

    Mkuu wachimbakisima nimeona umeweja ghalama ya groundwater survey 350,000 ....swali langu je survey hiyo itatoa mkadilio wa umbali wa Maji kupatikana? Swali lingine .... Mnahuduma ya endapo mteja kupata Maji ya chumvi akaitaji Maji baridi mnamsaidiaje ili apate anachokiitaji?
  5. Ruhazwe JR

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa

    Wasalamu wana wa jf! Naomba kuwajukisha wale wrote wanaoitaji nyumba ya kupanga au wake madalali wanao pangisha nyumba....kwamba napangisha nyumba (upande) iliyopo eneo la mbezi africana mitaa ya forest au mita taklibanj 300 kutoka maeneo ya shule ya msingi salala. Nyumba ina vyumba viwili vya...
  6. Ruhazwe JR

    JamiiForums Tanzania Accounting services

    good ntakutafuta
  7. Ruhazwe JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana unapokuwa mwoga wa maisha na kuamua kuoa/kuolewa na kazi badala ya mme/mke bora

    naukumbuka mjadala huu
  8. Ruhazwe JR

    JamiiForums Tanzania Projector inauzwa

    naomba bei mkuu
  9. Ruhazwe JR

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kampuni ya familia ambayo itakuwa na biashara tofauti ndani yake, naomba ushauri

    Salam! Nimepitia maelezo yako na ntajiatahidi kukujibu kwa lifup Kama ifuatavyo;- Kifupi unapoenda kusajili kampuni kina kiwa na Memorandum, ambayo ndani yake kunakuwa umeeleza Objects za kampuni...Kama ni kuuza mbao utataja,Kama ni mashule,Kama kuuza magar n.k utakuwa umeeleza...
  10. Ruhazwe JR

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

    Usimwogopeshe bhana! Iko hivi; Kuna uwakala mkubwa na uwakala mdogo. Kama unataka kuwa wakala mkubwa unatakuwa ume na kampuni yenye usajili wa kisheria(hii inafahamika, Brela, TIN, Leseni kutoka manispaa) Unatakiwa uwe na magari nakubwa ya kubebea. Pia uwe na vituo vya kusambazia si chini ya...
  11. Ruhazwe JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kufunga pingu za maisha, ila nashindwa kufanya uchaguzi sahihi

    Ndugu! Kwa maoni yangu mpaka sasa umesha feli maisha.ya ndoa.wenye akili timamu watakuwa wamenielewa. Nachelewa kusema una hasilimia kubwa ya kuharibikiwa na maisha mengine pia maana mwanaume ukifeli kwenye maisha ya ndoa pia hiku kwingine bila muujiza ni shida.
  12. Ruhazwe JR

    JamiiForums Tanzania Usitumie haya maneno, siyo sahihi, Badilisha

    mkuu lakin ukisema " si nilikwambia leo siji" Inakiea kama sio hekima hivi. ukijibu " nilikwambia siji" inaonesha adabu
  13. Ruhazwe JR

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro toka mafichoni Segerea inakwenda

    Mgogoro ulishatatuliwa na aliyekuwa mgombea wa chadema alisha kula kiapo mahakamani kuhusu kujitoa ila cha kushangaza jina lake limetokea kwenye karatas ya kipigia kura. kwa hili ukawa wanapaswa kufatilia NEC iliondowe maana utaratibu ulifatwa lakin haujatekelezwa
  14. Ruhazwe JR

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza fedha kwenye account yangu ya CRDB

    mim niseme nina iman na crdb.emu wasikilize wanasemaje japo utakutana na wafanyakaz vichom
Back
Top Bottom