Recent content by Rugambwa31

  1. Rugambwa31

    Mtu aliyewasumbua majasusi wa Mossad kwa miaka zaidi ya 20 kufanikiwa kumuua

    Ndugu inabidi tuongeze bidii katika kushauri vijana kupenda kusoma vitabu kwani tunajifunza mengi sana. Kitabu nikizuri bado nakisoma hata kama ni kirefu nitakimaliza tu. Hongera sana kwa kuweka hapa jamvini.
  2. Rugambwa31

    Tanzania Kurusha Setelaiti Ya Kwanza

    Tukiweka nia na dhamira ya kweli, Tanzania tunaweza fika mbali sana.
  3. Rugambwa31

    UKAWA na Warioba kubalini matokeo, tuipigie wote kura ya ndiyo. The End Justify The means

    Kazi bado tunayo watanzania kama tunaitaji kuwa na USAWA, UTU na HAKI.
  4. Rugambwa31

    Wanawake hapa huwa mnatukosea sana

    Kweli ndugu nimekupata kama Jason Bourne.
  5. Rugambwa31

    Geor Davie ni nani?

    Ndugu "With you" tupo pamoja. Hivi kweli tunategemea miujiza tu bila kufanya kazi?
  6. Rugambwa31

    Wanajeshi Wanne wa Nepal na komando wao wakamatwa Dar es salaam, Tanzania

    Kweli kabisa ndugu. Natumaini wahusika wa idara ya uamiaji watachukulia suala hili kwa umakini zaidi. Tukicheza na waamiaji tumekwisha.
  7. Rugambwa31

    Unaweza kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

    Kumbe ndugu Jipu tupo wengi.
  8. Rugambwa31

    Mh. Rais, bila shaka utakuwa unaifahamu vizuri historia ya Farao

    Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
  9. Rugambwa31

    Siri ya Kikao cha Diallo na Deus Mallya chavuja movie ya Kifo cha Chacha Wangwe

    Ndugu mawazobinafsi sijakupata kabisa. Join Date : 15th August 2014Posts : 16 Rep Power : 304 Likes Received 0 Likes Given 0
  10. Rugambwa31

    Siri ya Kikao cha Diallo na Deus Mallya chavuja movie ya Kifo cha Chacha Wangwe

    Marehemu alifanyiwa uchunguzi kabla ya mazishi? Je majibu yalisemaje? Kama alipigwa risasi, je walimkuta na risasi kwenye mwili au zilitokea upande wapili? Kama wananchi tulipewa majibu kipindi hicho? Kwanini linakuja kuibuka sasa?
  11. Rugambwa31

    Majembe ya ukweli

    Che Guevara mnamo disemba 28 mwaka 1959 ktk chuo kikuu cha Las Villas halipata kusema haya: "I would say that in order to reach the people you must feel as if you are part of the people. You must know what the people want, what they need, and what they feel. You must do a little self-analysis...
  12. Rugambwa31

    Taarifa fupi kutoka Serikali ya Wanafunzi

    Usipo kuwa na uvumilivu unaweza kupata ugonjwa wa moyo kwa kuona yanayotokea nchini. Kama mwanafunzi yupo kwenye mafunzo kwa vitendo tena ugenini hivi serikali inategemea huyu kijana apate wapi maitaji yake? Wanafunzi tukidai haki zetu, ndiyo hayo ya kuwekwa ndani hili tunyamaze kweli sawa...
  13. Rugambwa31

    Asiye na mwana...

    Ndugu ulipotea sana.
Back
Top Bottom