Taarifa fupi kutoka Serikali ya Wanafunzi

Taarifa fupi kutoka Serikali ya Wanafunzi

halafu wewe Abdi nani amekwambia TAHLISO ni shirikisho acha akili za kilevi wewe. TAHLISO sio shirikisho yaani hata kama jina tu hulijui sasa utaijua katiba. wewe Makamu Mwenyekiti mzigo, huifai TAHLISO na hata wewe mwenyewe hujifai.
 
Sie kaka zenu tuliandamana kudai demokrasia miaka ya 80's na 90's, naona hawa watoto wanaadamana kudai posho, tumekwisha. Vijana wa siku hizi bure kabisa!

Wew elewa mada sio unabwatuka tuh.
 
Usicheke mkuu,toa mawazo tuwasaidie wasomi wetu na viongozi wa badae wapate pesa za kujikimu,najua maumivu wanayoyapata pls

Kiukweli nmecheka pia kuhusu bw. 6... Wanachuo wanadai pesa zao kwa maandamano, sawa. Je wasio na mkopo wanasaidiwa na nani kushinikiza kupata mkopo?... Tujustify hilo pia...
 
Lumola na Mdede mnatumika kweli na CDM.

Mimi naitwa Lumola
Steven Kahumbi ni Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi DIT, juzi tarehe
14/08/2014 saa 2 usiku, mimi pamoja na Mh. Mwenyekiti halali wa TAHLISO
MUSA MDEDE, Rais wa DITSO, Spika wa bunge IFM, Mweka HAZINA WA TAHLISO,
Spika wa bunge DITSO pamoja na Waziri wa fedha IFM tulikamatwa na watu
waliojitambulisha kuwa wao ni polisi tukiwa tunakula chakula kisha
walitufunga pingu wakatupeleka kituo cha polisi Osterbay ambapo
walituchukua maelezo mpaka saa 8 asubuhi baada ya maelezo walituweka
mahabusu kwa tuhuma ya uchochezi.

Asubuhi walitutawanya katika vituo tofauti tofauti vya polisi na
ilipofika mchana waliturudisha osterbay ambapo tuliongea na RPC
kinondoni na baadae alikuja afisa kutoka kanda maalumu ya Dar es salaam.
mpaka hivi sasa sisi sote tumeachiwa kwa dhamana. Mapema katika wiki
zilizopita tulitoa tamko la kuipa serikali kuu siku 7 wawe wametimiza
malipo ya fedha kwa ajili ya field ambayo wameyachelewesha kwa wiki 5
lakini siku 7 zilikwisha na serikali haikutimiza agizo letu kwao,
tukakutana tena na vyombo vya habari tarehe 13/08/2014 ambapo
tulitangaza maandamano nchi nzima kwa ajili ya kuishinikiza serikali
kulipa fedha hizo Kwa ufupi hiyo ndio ilikuwa sababu ya sisi kukamatwa.

Kkatika HIstoria ya nchi yetu tangu tulipozaliwa kama Taifa huru
haijawahi kutokea Uzembe na Makusudi kama haya kwa serikali kuchelewesha
fedha za field kwa wiki 7. Ni tukio jipya kabisa ambalo kwa kila
anayejua umuhimu wa field kwa wasomi lazima ataishangaa serikali yetu
kwamba Inafikiria nini. Walituhoji sana kuhusu kibali lakini
tulichowajibu, tuliwaambia hayo yanayoitwa maandamano bado hayajafanyika
kwahiyo hatuwezi kuhoji juu ya uhalali au uharamu wake.
 
Usipo kuwa na uvumilivu unaweza kupata ugonjwa wa moyo kwa kuona yanayotokea nchini. Kama mwanafunzi yupo kwenye mafunzo kwa vitendo tena ugenini hivi serikali inategemea huyu kijana apate wapi maitaji yake? Wanafunzi tukidai haki zetu, ndiyo hayo ya kuwekwa ndani hili tunyamaze kweli sawa?

Kwa mwendo huu maendeleo ya kweli kufika kwa watanzania ni kazi sana tusidanganyane.
 
tatizo vyuoni mmejaa watoto mayai mayai enzi zetu bwana no majadiliano vijana mkisema mstari wa mbele mbele kweli
 
Mimi naitwa Lumola Steven Kahumbi ni Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi DIT, juzi tarehe 14/08/2014 saa 2 usiku, mimi pamoja na Mh. Mwenyekiti halali wa TAHLISO MUSA MDEDE, Rais wa DITSO, Spika wa bunge IFM, Mweka HAZINA WA TAHLISO, Spika wa bunge DITSO pamoja na Waziri wa fedha IFM tulikamatwa na watu waliojitambulisha kuwa wao ni polisi tukiwa tunakula chakula kisha walitufunga pingu wakatupeleka kituo cha polisi Osterbay ambapo walituchukua maelezo mpaka saa 8 asubuhi baada ya maelezo walituweka mahabusu kwa tuhuma ya uchochezi.

Asubuhi walitutawanya katika vituo tofauti tofauti vya polisi na ilipofika mchana waliturudisha osterbay ambapo tuliongea na RPC kinondoni na baadae alikuja afisa kutoka kanda maalumu ya Dar es salaam. mpaka hivi sasa sisi sote tumeachiwa kwa dhamana. Mapema katika wiki zilizopita tulitoa tamko la kuipa serikali kuu siku 7 wawe wametimiza malipo ya fedha kwa ajili ya field ambayo wameyachelewesha kwa wiki 5 lakini siku 7 zilikwisha na serikali haikutimiza agizo letu kwao, tukakutana tena na vyombo vya habari tarehe 13/08/2014 ambapo tulitangaza maandamano nchi nzima kwa ajili ya kuishinikiza serikali kulipa fedha hizo Kwa ufupi hiyo ndio ilikuwa sababu ya sisi kukamatwa.

Katika HIstoria ya nchi yetu tangu tulipozaliwa kama Taifa huru haijawahi kutokea Uzembe na Makusudi kama haya kwa serikali kuchelewesha fedha za field kwa wiki saba. Ni tukio jipya kabisa ambalo kwa kila anayejua umuhimu wa field kwa wasomi lazima ataishangaa serikali yetu kwamba Inafikiria nini. Walituhoji sana kuhusu kibali lakini tulichowajibu, tuliwaambia hayo yanayoitwa maandamano bado hayajafanyika kwahiyo hatuwezi kuhoji juu ya uhalali au uharamu wake.
"Freedom is never voluntary given by the oppressor it must be demanded by oppressed"
 
maandamano yalikuwa 2010 udsm kpnd hcho mm npo form6, mpaka ikaundwa 2me na rais. Bum likapanda kutoka 5000 mpaka 7500. Nawapongeza sana vijana wa udsm wa mwaka wa3 wa 2010. Nyie mliopo mnachelewesha hela ya field mpaka miez mi2 hamjash2ka? Nendeni mkalale pale wizara ya elimu ili vyombo vya habar vije mtapata haki yenu.
 
Na wakimalizana na sirikali yao wanaanza kumsainia mgombea wa ccm dhamana eti wana imani naye.

hii sio bure, ni sifuri zinazoelea!
Sie kaka zenu tuliandamana kudai demokrasia miaka ya 80's na 90's, naona hawa watoto wanaadamana kudai posho, tumekwisha. Vijana wa siku hizi bure kabisa!
 
Poleni sana, hii Serikali dhalimu ndivyo ilivyo, badala ya kukaa meza moja nanyi wanatumia vitisho ili kuwatisha muache kufuatilia haki yenu. Serikali hii haijali kabisa elimu hivyo sishangai kwamba wiki 7 zimekatika na bado hamjalipwa mnachostahili kulipwa. Hela ya kulipa kwenye Bunge la Posho haikosekani lakini ya kuwalipa wanafunzi miezi miwili sasa bado mnang'aa macho.
 
Back
Top Bottom