Recent content by Rubi

 1. Rubi

  Ushauri; Nimetumia kitunguu swaumu na kupata hali hii

  Pole mwaya vitunguu vimeunguza koo lako lakini fuata ushauri huo hapo juu siku nyingine usile vitunguu vingi kiasi hicho, kwa afya vitunguu vitatu tu vinatosha. la kufanya kwa sasa kunywa maji mengi kisha unywe maziwa na kama unamachungwa au limalo na asali mbichi tumia pia hiyo hali...
 2. Rubi

  TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

  Siku za binadam zinahesabika tangu tumboni mwa mama yake. pumzika kwa amani.
 3. Rubi

  Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

  Dr. naomba kujua ufahamu kuhusu ugonjwa wa Seli Mundu (sickel sell) na je unatibika, au kuna jinsi ya kujikinga mtoto asirithi. shukrani.
 4. Rubi

  Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

  -kadee mama kadee mama, baba na mama kadee mama, Walinituma kadee mama, kulea mtoto kadee mama, kufika njiani kadee mama, Wakanigeuza kadee mama, Nikawa liboga kadee mama, Amina......... Amina kadala... -kibunzi kibunzi cha umeme cha umeme, mwana mbuzi kajamba, kamjambia mkewe degedege...
 5. Rubi

  Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

  yeah naukumbuka sana huo mchezo Iringa tulikuwa tunaita Uki, unachora mstatili wenye njia na viduara vinne kila kona kwa ajili ya kusimama unatakiwa ukimbie mpira unaporushwa usimame kwenye duara kabla mzingaji wa pili hajadaka mpira nafkiri. kweli nyimbo za utoto zinakumbusha mbali aisee...
 6. Rubi

  Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

  mihangaiko inatuficha wakati mwingine. Ila tunashukuru Mungu kwa kutujalia pumzi hadi leo. hujambo lakini.
 7. Rubi

  Maono: Namuona Tundu Lissu akiachana kabisa na siasa na kujielekeza kwenye kazi ya Mungu!

  Hata Saul Muuaji alipewa second chance akahubiri neno la Mungu. So ukipewa second chance na Mungu wako jitafakari upya unaweza usihubiri lakini ukaacha usaliti kwa nchi yako, kama wa kuuza habari za nchi za nchi yako kwa adui, kutukana mamlaka zilizowekwa na mengineyo ambayo ni chukizo kwa...
 8. Rubi

  Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

  Mbowe naye kajimilikisha Chadema; Seif kajimilikisha Cuf Zanzibar; Lipumba naye CUF Bara; Loh! ni umiliki, umiliki, umiliki...... Kha mwisho wa siku ubatili mtupu. mleta mada angalau ndani ya CCM wanabadilishana madaraka sijui hivyo vyama vingine unasemaje.
 9. Rubi

  Urembo ulionishinda mimi.....

  urembo ulionishinda ni kuvaa uchi au nusu uchi kwenye public, kutinda nyusi na kuchora mijiwanja, kubanika makucha maana sijui walibandika wanajitawazaje, kupaka lipstic iliyokolea mpaka unashindwa kumhag mtu, kuvaa kiatu kirefu zaidi ya nchi tano unakua kama ngongoti, kuvaa nguo za kubana mpaka...
 10. Rubi

  Mwanamuziki Linah amejifungua mtoto wa kike

  Ingawa hunijui lakini mtoto ni baraka. Mungu akukuzie angalau hukutaka ucelebrity kama wa akina wema miaka imeganda. wewe ni mama sasa Mfurahie mwanao na uone utamu wa kuitwa mama. all the best katika malezi na mwana umleavyo ndivyo akuavyo. Mfundishe kumcha Mungu maana ndiko zitokako...
 11. Rubi

  Unajifunza Nini Kuhusu Hii Picha

  Mimi namuonea huruma tu kuwa akilala usiku hiyo mishipa ya shingo na uso inavyomuuma. kila siku kuisimamisha siku yaja atajikuta mahakamani yuko pekee wapambe hakuna ameshau mwezie wa Arusha.
 12. Rubi

  Jinsi ya ku-download video kutoka dailmotion

  Mkuu nashukuru kwa ushauri nifanikiwa kwa kutumia hiyo app hatimaye nadownload kwa kutumia keepvid. Asante sana.
 13. Rubi

  Jinsi ya ku-download video kutoka dailmotion

  Asante Mkuu nitakupa mrejesho.
 14. Rubi

  Jinsi ya ku-download video kutoka dailmotion

  Mkuu mbona bado ni mashikolo mageni " tube mate" ndio nini tena:) nifafanulie kwa kweli
Top Bottom