Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
Duh, pole naona umeacha kabisa kufikilisha akili yako. Na nadhani hujui maana ya opposition, laiti ungejua ungekaa kimya. Haya wanaoshinda mahakamani, wanashinda kivipi na nani anawapeleka mahakamani? Au hujui Lissu anatetea nini, sitaki niamini maneno yako kama ukweli umeongea baada ya kuwaza au vinginevyo? Hivi hizo ziara za mkulu huoni kuwa ni siasa, ila anazigeuza kama anaenda kuzindua miradi, au haujui kuwa serikali ipo kwa ajili ya wananchi, ila wananchi wako kwa ajili ya kuhudumiwa na serikali, sasa unataka viongozi watakao leta maendeleo au wanaoleta maendeleo kivipi? Hayo maendeleo sio hisani ni wajibu wao mdau kuyaleta na kuyatimiza. Jitahidi uelewe hauwezi ukamlazimisha ngamia kulaa, utachoka!!
Lisu anatetea nini mdau!? Unaweza weka mambo mawili ambayo lisu anayatetea? Na anamtetea nani!? Siasa sio lazima uwe lomolomo.