Ushauri; Nimetumia kitunguu swaumu na kupata hali hii

baharia 1

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
1,255
1,268
habar wakuu naombeni mnishauri, tangia jana nmekula vitunguu swaumu vitatu na punje zaidi 40 kwamara moja, lakini masaa matatu baadae hapa kifuani nahisi kuna kitu kimekwama kama kinataka kutoka lakin kimenasa yaani kimekwama lakini nakula vizuri nakunywa maji safi, hadi imefika leo nahisi hiki kitu kimepanda lakini hakitoki, nahii imeanza nlipoanza kutumia kitunguu swaumu na nkitaka kama kukitoa nabeuwa tu
ushauri wenu wakuu
asanteni.
 
fafanua vizuri wewe ulikula vitunguu vyote hivyo kwa minajiri IPI? Ndo tuanzie hapo
 
habar wakuu naombeni mnishauri, tangia jana nmekula vitunguu swaumu vitatu na punje zaidi 40 kwamara moja, lakini masaa matatu baadae hapa kifuani nahisi kuna kitu kimekwama kama kinataka kutoka lakin kimenasa yaani kimekwama lakini nakula vizuri nakunywa maji safi, hadi imefika leo nahisi hiki kitu kimepanda lakini hakitoki, nahii imeanza nlipoanza kutumia kitunguu swaumu na nkitaka kama kukitoa nabeuwa tu
ushauri wenu wakuu
asanteni.
Vitunguu saumu vina tindikali ambayo ukitumia kwa wingi inaunguza tumbo.

Nenda hospitali upate ushauri kiponyesha kidonda.

Stomach Problems

Having excess intake of garlic can also be detrimental to the digestive tract. Stomach irritation is one of the most common side effects of taking too much garlic.

Garlic overdose may cause the following digestive issues:

Stomach upset Diarrhea
Vomiting
Nausea
 
habar wakuu naombeni mnishauri, tangia jana nmekula vitunguu swaumu vitatu na punje zaidi 40 kwamara moja, lakini masaa matatu baadae hapa kifuani nahisi kuna kitu kimekwama kama kinataka kutoka lakin kimenasa yaani kimekwama lakini nakula vizuri nakunywa maji safi, hadi imefika leo nahisi hiki kitu kimepanda lakini hakitoki, nahii imeanza nlipoanza kutumia kitunguu swaumu na nkitaka kama kukitoa nabeuwa tu
ushauri wenu wakuu
asanteni.
Dah, bingwa kwanza nakuvulia kofia kwa kula punje 40 ya vitunguu swaumu vitatu (3 garlic head) kwa mpigo, kama ni kweli. Na nitashangaa kama hukutapika kwa kuwa dozi hiyo lazima ubongo utakulazimisha ufanye hivyo.

Mimi nimtumiaji mzuri sana wa kitunguu swaumu, huwa nakula kitunguu nusu (kama punje 8) kwa mara moja.

Kilichokutokea ni kuwa kitunguu kimeunguza koo lako.. umetolewa bikra :) .

Koo lina nyama laini na maji ya kitunguu yana uwezo mkubwa wa kupenya kwenye ngozi hivyo unapokula vitunguu vingi kwa pupa ngozi yako haiwezi kustahimili penetration na kupeleka taarifa haraka kwenye ubongo.

Ubongo wako hudhani kuna "foreign invasion" na hivyo kuifanya ngozi yako kujihami na kuanza kuvimba na ndiyo hicho unachodhani koo limekaba. Hii hutokea kama hujawahi kutumia kitunguu kwa wingi kama hivyo. Ukiendelea kutumia kitunguu baada ya muda ubongo wako utakuwa na data za kutosha kujua kitunguu hakina madhara na hivyo hauta pata uvimbe huo kwenye koo.

Onyo tuu, usile punje nyingi kiasi hicho kwa mara moja (6 zinatosha) kwani ini lako linaweza kuzidiwa na kusababisha uharibifu wa ini.
 
The dosage make it a poison. Wewe uliambiwa ule punje tatu ukaenda kufakamia kitunguuu kizima ona sasa ishakua sumu hiyo inakuathiri kidogo kidogo. Ila kwa ushauri kunywa maji ya kutosha na maziwa ita neutralise kidogo
 
Dah, bingwa kwanza nakuvulia kofia kwa kula punje 40 ya vitunguu swaumu vitatu (3 garlic head) kwa mpigo, kama ni kweli. Na nitashangaa kama hukutapika kwa kuwa dozi hiyo lazima ubongo utakulazimisha ufanye hivyo.

Mimi nimtumiaji mzuri sana wa kitunguu swaumu, huwa nakula kitunguu nusu (kama punje 8) kwa mara moja.

Kilichokutokea ni kuwa kitunguu kimeunguza koo lako.. umetolewa bikra :) .

Koo lina nyama laini na maji ya kitunguu yana uwezo mkubwa wa kupenya kwenye ngozi hivyo unapokula vitunguu vingi kwa pupa ngozi yako haiwezi kustahimili penetration na kupeleka taarifa haraka kwenye ubongo.

Ubongo wako hudhani kuna "foreign inversion" na hivyo kuifanya ngozi yako kujihami na kuanza kuvimba. Hii hutokea kama hujawahi kutumia kitunguu kwa wingi kama hivyo. Ukiendelea kutumia kitunguu baada ya muda ubongo wako utakuwa na data za kutosha kujua kitunguu hakina madhara na hivyo hauta pata uvimbe huo kwenye koo.

Onyo tuu, usile punje nyingi kiasi hicho kwa mara moja (6 zinatosha) kwani ini lako linaweza kuzidiwa na kusababisha uharibifu wa ini.
asante sana mkuu nmekuelewa, lakini sikutapika nahisi kwenye koo kwachini kabisa kuelkea kifuani kama kuna kitu kimesimama akishuki wala kupanda
 
Pole mwaya vitunguu vimeunguza koo lako lakini fuata ushauri huo hapo juu siku nyingine usile vitunguu vingi kiasi hicho, kwa afya vitunguu vitatu tu vinatosha. la kufanya kwa sasa kunywa maji mengi kisha unywe maziwa na kama unamachungwa au limalo na asali mbichi tumia pia hiyo hali itakwishisha. mtu yeyote anayetumia vitunguu swaumu vibichi kwa maya ya kwanza hata kama ni punje tatu hiyo hali ya kuungua au kvimba kwenye koo lazima utaihisi. njia nzuri ya kutumia kitunguu swaumu punje tatu kwa siku bila kupata hiyo hali ni vizuri ukivichanganya kwenye maziwa ya mgando.
 
asante sana mkuu nmekuelewa, lakini sikutapika nahisi kwenye koo kama kuna kitu kimesimama akishuki wala kupanda
Ni ngozi ya koo imevimba kwa kujaa maji, hii ni defensive mechanism ya mwili kama ngozi inavyojaa maji baada ya kuungua. Uvimbe huo utaondoka baada ya masaa 24 hivi, ila usirudie kufanya hivyo utaharibu ini lako, kwa sasa kunywa maji mengi ili upunguze concentration ya kitunguu.
 
Back
Top Bottom