Recent content by RUBERTS

  1. RUBERTS

    Ni nani aliyemtuma mkenya kumteka Dr. Ulimboka?

    Ni taahira tu anaweza kuamini taarifa hii ya polisi. Watafute gia nyingine sio hii.
  2. RUBERTS

    Mtaala wa Madaktari una upungufu

    Mimi naona madaktari muendelee na mgomo tena mkaze uzi kweli kweli. Kama ni wananchi kufa acha tufe tu hadi tupate akili. Watakaokuja nyuma yetu watajua cha kufanya kutetea maslahi ya nchi yetu. Wakati mwingine mtu unatamani hata vita viingie nchini kama Rwanda labda ndo viongozi watabadilika...
  3. RUBERTS

    Mtaala wa Madaktari una upungufu

    Yusufummaka sikubaliani na wewe hata kidogo. Katika serikali hii kuna viongozi waliobobea katika taaluma na uongozi waliosoma masuala ya uongozi ktk taasisi za ndani na nje nyingi tu. Watu wana madigree ya kufa mtu. Kuna wanasheria wenye sifa za kimataifa kwa jinsi ya ufaulu wao. Ndani ya...
  4. RUBERTS

    Mwigulu nchemba uko wapi?

    Issue ni ya Mwigulu, unadhani ukileta mada ya Slaa itabadili mawazo ya mada? Pole sana. Hizo ni tactics mufilisi na kitoto sana. Mchumi Grade 1 Mwigulu hata kijijini kwake watu hawana soko la kuuzia vitunguu vyao na mafuta yao ya alizeti. Eti mchumi huyo. Wassira alishampasha kuwa kuwa na A ya...
  5. RUBERTS

    Baada ya Sumbawanga, leo saa saba mchana ni Mpanda, team ya Nchemba

    Afadhali wazinifu wasiokula mali ya mtu kuliko wazinifu (Dhaifu) wanaotumia mali ya umma kufanya utalii Ulaya kila siku.
  6. RUBERTS

    Komba hoi

    Hapo kwenye nyekundu, kwani ana faida gani hadi aombewe kupona. Aopone ili aendelee kutetea ufisadi siyo? Huo muda wa kumwombea bora watu wakalime mchicha. Watu kama hawa inabidi waombewe kufa tu.
  7. RUBERTS

    Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

    Ukiona mtu anajisifia kwa usomi, uzuri, mali, au sifa yoyote yake binafsi tena kwenye public, jua huyo mtu ni matatizo matupu, na kichwa kitupu. Mtu mwenye akili hawezi kujisifia. Watu ndo watampa sifa wanaomwangalia.
  8. RUBERTS

    Joseph selasin mbunge (chadema) amvua nguo mwigulu nchemba kwa uongo

    Nchemba jibu hoja hizo, acha kukenua meno bungeni wkt hata shangazi yako yuko mitaani anatarandaranda kwa kuomba.
  9. RUBERTS

    Huwa siwezi kabisa....

    Hii nayo kali. Ushauri wa nini, kwani hiyo ni sifa ya kutafuta?
  10. RUBERTS

    Walimu waanza mgomo, serikali yaenda mahakamani, mahakama yazuia mgomo

    Mahakama nanyi gomeni tuone serikali itaenda wapi. Kwani nyie mahakama mnapata maslahi gani mazuri? ukiondoa kuwakamua wateja wenu. Siku watu wakiamua kusuluisha migogoro yao kwa njia za majadiliano mtaumia sana.
  11. RUBERTS

    Sina imani tena na Chadema

    Umelewa RUBISI wewe. Mnyika na Slaa ni zaidi ya wabunge 50 wa CCM. We endelea kula hizo pesa za wizi za Kalamagi na wenzake, kuliko kutoa pumba zako hapa.
  12. RUBERTS

    CCM yazidi kuumbuka

    Unaweza kujua kama ni kweli kwa kutafuta taarifa za matukio huko Moshi. Jiulize je hayo matukio yanayosemwa ya mgomo yapo? Mabasi yanapopolewa mawe kweli? n,k.
  13. RUBERTS

    Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    Aise inasikitisha, inauma, inatia hasira ya kuua mtu. Huyo ACP Msangi anacheleweshwa nini naye kuuawa?
  14. RUBERTS

    Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

    Asante kwa kuona makosa na kusahihisha. Mawazo yako tunayahitaji sio kukosoa tu.
  15. RUBERTS

    Waziri Mwakyembe ashushuliwa.

    Amefanya vizuri kwenda kujionea hali halisi. Kwa nchi ilipofikia kila mbinu inatakiwa kutumika. Sio kuweka strategy tu na kukaa ofisini, utapewa taarifa feki. Kila linalowezekana kulifanya kwa stahili yoyote lifanyike hali mradi lina maslahi kwa nchi yetu. Kwani kwenda pale Mwenge amepoteza...
Back
Top Bottom