Msalagambwe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 713
- 263
Nchi inahitaji vitu viwili tu;
Watu na Ardhi.
Uzao wa watu ni kila jambo lifanywalo na watu ikiwa ni pamoja na yale ambayo leo hii ni ndoto.
Elimu,teknolojia,utamaduni,lugha, madktari, walimu, wakulima, wanasiasa,mfumo wa uchumi na siasa,imani, dini,kujamiiana nk
Ardhi uzao wake ni asili yote ituzungukayo. Anga ,hewa, maji, uoto, madini, bahari mito maziwa, mawe, mchanga,nyasi nk
Reasoning na logic ndo pekee husukuma mtu ku draw conclusion.
Awareness, Environment,Expectation, Level of education,Motivation and Status in the society,
Vinaweza kuathiri reasoning na logic ya mtu.
Inawezekana, lakini haitokei mara nyingi wanaofaidika na uoza wa ruling Class kupinga maamuzi ya ruling class.
Mtu asiye jua structure ya ukoloni mambo leo ni nadra kwake kuutambua na kuupinga.
Ili nchi iwe nchi inahitaji watu na ardhi,hata hivyo experience inaonyesha kwamba daktari mmoja ni muhimu kuliko wana siasa wote kwa pamoja.

Nilijua tu utatokea mtu kama wewe ambaye kazi kukubali kila kitu madaktari wasemayo bila hata kujua tija yao, siku madatari wakisema tunataka wake zenu nadhani kuna watu kama nyie mtakubali coz mmeaminishwa na mmeamini kwamba taaluma ya udaktari tu ndio taaluma sahihi na yenye kuendesha nchi na inabidi wasikilizwe kila wasemalo na muda wowote wasemao na inabdi litimizwe instantly.