Recent content by Ruaga

  1. R

    Lissu, Mnyika, Lema na wenzao 'wamepotea'

    mmepata mgao wa billion 150 Nini ,maana imeshindikana tu, hakuna namna aisee
  2. R

    Lissu, Mnyika, Lema na wenzao 'wamepotea'

    kuna watu humu JF ,nadhani wametumwa maana jinsi wanavyojitoa ufahamu dah ccm mmeshikwa pabaya sana ,eti sugu kapigwa mawe na wananchi wake au bado mnapotezea gufuli kuzomewa huko mbeya
  3. R

    CHADEMA yameguka vipande viwili

    hivi kosa la lowasa ni lipi mpaka ccm mtoe mitusi yote hiyo dah balaa,ungegombea slaa , hapa ccm mngekuwa mnachekelea tu C ndio haaaaa kasi kweli wabongo
  4. R

    Familia ya Gwajima yaja juu kwa udanganyifu wa Askofu Gwajima

    wewe unamzigo wako mzito ndani ya chama
  5. R

    Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    je ni kweli twiga walikwea pipa hadi Qatar?
  6. R

    Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

    siasa za mwaka huu ni shidaaa ,eti lowasa na sumaye team moja, mtikila na ccm marafiki, slaa na lipumba maswaiba wa ccm, lowasa na chadema damudamu ,magufuli na wasanii wakubwa wa nchi team moja ,magufuli anashangaa uozo ndani ya ccm mbele ye mwenyekiti wake, lowasa asema elimu bure hadi chuo...
  7. R

    Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    we kubwajinga , hivi unasema lowasa ndo papa wa mafisadi ktk nchi hii, toa takwimu za ufisadi wake nje na sakata la Richmond lenye mlolongo mlefu ndani ya ccm.
  8. R

    Watanyoooka tu

    wasanii ,diamond yupo duh hata mi ningeenda kujaza nyomi ,hivo usishangae kabisa
  9. R

    Magufuli na Lowasa ni maarufu kuliko vyama vyao?

    Aliyesababisha yote haya ni raisi wangu mpendwa JK ,ntamkumbuka sana kwa kaipaisha UKAWA, UKAWA kwa sasa inajengwa kwa kasi sana na viongozi wa ccm ,na mpaka leo wengine wanajifanya kutembea na magufuli kwenye majukwaa kumbe ni maajenti wa UKAWA, mzee wa pushup kalalamika kinoma, lowasa yule ni...
  10. R

    Yaliyojiri Viwanja vya Polisi Himo: Mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA jimbo la Vunjo

    mi sishangai MABADILIKO haya kwa sababu raisi wangu mpendwa JK ndo kayaleta, nahisi kwamba kura ya kikwete itakwenda kwa lowasa maana JK Ana roho ngumu sana .
  11. R

    ACT - Wazalendo Wamnyooshea kidole Zitto!

    tatizo la watz ambao ni wanasiasa vijana niwepesi kujaa viburi pale wapojulikana ,zito ni miongoni mwao amesahau kabisa katokawapi , mzee Lowasa kipindi akiwa kijana alikuwa akitii wazee walomlea ndo maana kakomaa vizuri kisiasa pamoja na changamoto alozipitia bado watz waliowengi wanaimani nae...
  12. R

    Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    dah ,wachungaji siasa duh ni vizur ila waumini wao sijuiwanawaonaje,maana katika gwajima sasa mtikila dah hatari sana ,ushauri wangu tu ,wachungaji wasiingie ktk mijadala ya siasa maana wao wanaongoza watu toka vyama tofauti ,wawaache waumini wao wachague kilammoja na chaguo lake , fikilia baada...
  13. R

    GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    aisee English ya mzee lowasa ipo vizuri, tatizo C wtz wengi elimu yeboyebo ndo maana ktk clip hawakumuelewa el ,nimesikiliza na mzee kimataifa hawezi kutuhaibisha,labda mambo mengine lakini C la lugha
  14. R

    GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    hahahaha nimecheka sana aisee ilonalo neno duh
  15. R

    Serikali ya CCM yashindwa kulipa madeni ya watumishi

    mi nauliza jamaa kasema ccm ilikuainajisafisha kwa kuwakata mafisadi, sawa je wanaccm wangapi walilidhia kuwakata hao wanaowaita mafisadi? Je list of shame ya chadema walitajwa mafisadi wangapi,na ni wangapi wameshakatwa? wtz muwe waelewa
Back
Top Bottom