Serikali ya CCM yashindwa kulipa madeni ya watumishi

mchotamaji

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
219
66
Hatimae Serikali inayoongozwa Na CCM imeshindwa kulipa madeni inayodaiwa Na Watumishi mbalimbali ,Wakulima Na Wakandarasi.Madeni hayo yana miaka mingi sana tokea utawala Wa Mkapa mpaka huu Wa Kikwete ambao unamalizika mwezi ujao.Hakika CCM imewanyanyasa sana hao wanaodai kwani hata mazingira yao ya kazi ni mabovu.

CCM imepoteza mvuto kwa wananchi Na ndio maana ktk uchaguzi Wa mwaka huu wanategemea jina la MTU kuliko la chama.CCM imediliki kununua viongozi Wa upinzani ikidhani itaudhohofisha upinzani lakini ndio kwanza imeuimalisha maradufu.CCM imenunua mpaka wasanii kutafuta mvuto kwa wananchi lakini bado hali in mbaya .CCM imediliki kuwatukana matusi Watanzania kupitia kiongozi mkubwa Mh.MKAPA kwa Kuwaita WAPUMBAVU Na MALOFA kitendo ambacho kimewakera sana wananchi Na viongozi Wa Dini.Wakati umefika Wa kuiambia CCM tumeichoka tunataka MABADILIKO.
 
Kwa hiyo rais ajaye atarithi siyo tu deni kuuuuuubwa la taifa bali pia na la watumishi wa serikali. Lakini lipo pia bnm 800 za wizara ya Magufuli ikiwa ni penalty kwa kushindwa kuwalipa kandarasi
 
Dawa si kuukarabati mfumo CCM bali kuungoa kabisa na kuweka injini mpya ifikapo 25/10!
 
Sasa hivi mgao es umeme na kipindipindu ndo viko chati kuashiris udhaifu wa maccm,ihahitaji akili ya mwendawazim kuipigia kura ccm
 
yaani we acha tu jana tulikuwa tunacheka yaani kuna mtu anadai likizo 40000 tu eti halmashauri imeshindwa kumlipa toka mwaka jana kweli? haya na sisi tunaodai mamilioni mtatulipa kweli
 
UKWELI NDO HUO TUNAIDAI SERIKALI FEDHA NYINGI SANA WATULIPE KABLA YA OKTOBA OTHERWISE WATATEMBELEA PUA SAFARI HII.i
 
Ndo kazi ya chama dume kudaiwa na watumishi wake lakini kinazika haki zao. HAPA KAZI TU MNAOIDAI MLIE TU
 

Attachments

  • 1442736549593.jpg
    1442736549593.jpg
    11.1 KB · Views: 1,679
  • 11200796_10153453536094504_53821265391532711_n.jpg
    11200796_10153453536094504_53821265391532711_n.jpg
    65.4 KB · Views: 358
Mbaya zaidi jana polisi wameongezwa posho za kati ya mwezi toka 180000 hadi 300000 tutapigwa sana kipindi cha uchaguzi
 
Nikisikia neno ccm naita kijana aniletee kisahani nitapike angalau doti mbili za ubwabwa. Ccm wanakazana na pushapu badala ya sera kuna siku watakuja kujamba mkutanoni sijui haibu hii wataiweka wapi, maana maharage ya mama ntilie sio mchezo , kwani pesa zote za uchaguzi, zi
 
Si kwamba watu wanaipenda ccm

Pengine wangeweza kuipiga chini kweli

Lakini wanaogopa ,,,,,kwasababu kule kunakodhaniwa ni kimbilio ndo kuko worse.

Hebu angalia hii;-
Wakati ccm wanakata mafisadi
Cdm inakaribisha mafisadi..

Kwa mfano huo tu inatosha kuiona ccm kama inajisafisha na
Kuiiona cdm kama inachafuka.

Sasa kwanini watu wasibaki huku kunako safishika wakimbilie kule kunako chafuka?
 
Si kwamba watu wanaipenda ccm

Pengine wangeweza kuipiga chini kweli

Lakini wanaogopa ,,,,,kwasababu kule kunakodhaniwa ni kimbilio ndo kuko worse.

Hebu angalia hii;-
Wakati ccm wanakata mafisadi
Cdm inakaribisha mafisadi..

Kwa mfano huo tu inatosha kuiona ccm kama inajisafisha na
Kuiiona cdm kama inachafuka.

Sasa kwanini watu wasibaki huku kunako safishika wakimbilie kule kunako chafuka?

Mkuu niseme kwa kifupi tu, ccm haina nia ya dhati ya kupambana na ufisadi basi.
 
Mkuu niseme kwa kifupi tu, ccm haina nia ya dhati ya kupambana na ufisadi basi.
mi nauliza jamaa kasema ccm ilikuainajisafisha kwa kuwakata mafisadi, sawa je wanaccm wangapi walilidhia kuwakata hao wanaowaita mafisadi? Je list of shame ya chadema walitajwa mafisadi wangapi,na ni wangapi wameshakatwa? wtz muwe waelewa
 
Back
Top Bottom