Yuko wapi Lema? Yuko wapi Mnyika? Tundu Lisu, Sugu, Msigwa na Nasari? wamejificha wapi? mbona siwasikii wakikemea ufisadi?
Chama kishapigwa bei. Hawana chao hao!
kuna watu humu JF ,nadhani wametumwa maana jinsi wanavyojitoa ufahamu dah ccm mmeshikwa pabaya sana ,eti sugu kapigwa mawe na wananchi wake au bado mnapotezea gufuli kuzomewa huko mbeya
Wana hali mbaya sana kwenye majimbo yao.