Makamanda wako busy Ufisadi uko CCM Au Change Na mama tibaijuka hawapo?
Makamanda wako busy Ufisadi uko CCM Au Change Na mama tibaijuka hawapo?
Lisu, Mnyika , Lema na wenzao Wamepotea.:
Yuko wapi Lema? Yuko wapi Mnyika? Tundu Lisu, Sugu, Msigwa na Nasari? wamejificha wapi? mbona siwasikii wakikemea ufisadi?
Ccm iko safi sahv ipo poa sanah
Wanapiga kazi mafisadi hawatakiwi Walikua wanatembea na fisadi papa kila kona walipoanza kisemwa wakamkimbia na kumuacha peke yake ahahahahaa
Lowasa aliondoka na pepo lake la ufisadi
nw ccm iko bomba
Wapo kumbuka sasa ni zamu yao kujitetea kwenye majimbo yao kwa miaka 5 Ukizingatia watu leo huchagua zaidi mtu/watu na si vyamaLisu, Mnyika , Lema na wenzao Wamepotea.:
Yuko wapi Lema? Yuko wapi Mnyika? Tundu Lisu, Sugu, Msigwa na Nasari? wamejificha wapi? mbona siwasikii wakikemea ufisadi?
Ngoja ninyamaze!!Lisu
lema
Mnyika
Na
nasari
wana hali mbaya sana jimbon kwao
Na hawatarud tena bungen labfa kwa mualiko wa spika
Sugu nmeamua kumtofautisha kidogo na kund hilo juu
Maana hali yake jimbon n mbaya sanna kias kwamba imefikia hatua wananchi wannamshambulia kwa mawe
Hawatak hata kumuona
Kuhusu suala la ufisad
Hawawez kulizungumzia tena
maana muasisi wa ufisad tayari wanae huko
Na wanajua kinachofuata ukimsema vbaya
Nkupata ajari na kutokea kwenye kioo cha mbele na kufa hapo hapo na brief case yako
bila hata mchubuko wowote wala kuvuja damu