Magufuli na Lowasa ni maarufu kuliko vyama vyao?

Magufuli na Lowasa ni maarufu kuliko vyama vyao?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Ukimwangalia Magufuli baadhi ya mabango yake hayana neno wala nembo ya ccm bali 'Magufuli Hapa Kazi Tu' na kaalama ka mwenge kanakoashiria yeye ni mtu huru kifikra. Kwa Lowasa hakuna mjadala umaarufu wake umewakimbiza wabobezi Lipumba na Slaa. Najiuliza why ccm ilikataa mgombea binafsi na sasa imetuletea mfano wa wagombea binafsi tena wawili?!! watoto wanarefusha CCM kama Chama Cha Magufuli nami naiona ccm ijayo kwa jicho hilo, Hongera John!!
 
Aliyesababisha yote haya ni raisi wangu mpendwa JK ,ntamkumbuka sana kwa kaipaisha UKAWA, UKAWA kwa sasa inajengwa kwa kasi sana na viongozi wa ccm ,na mpaka leo wengine wanajifanya kutembea na magufuli kwenye majukwaa kumbe ni maajenti wa UKAWA, mzee wa pushup kalalamika kinoma, lowasa yule ni ccm hata UKAWA haijui ila shukurani zimwendee raisi wetu mpendwa JK kwa kumpeleka mchezaji hatari kwenye team ya UKAWA, ndo maana wachezaji wengine wa team ya UKAWA walitimua kuhofia kukosa namba , mashabiki wa team ya ccm ilibidi baadhi yao kuikimbia team yao na wengine kwa aibu bado wamo ndani ya team ya ccm ndo maana mzee wa pushup kalalamika kinoma, shikamo JK ntakukumbuka kwa mengi.over
 
Ukimwangalia Magufuli baadhi ya mabango yake hayana neno wala nembo ya ccm bali 'Magufuli Hapa Kazi Tu' na kaalama ka mwenge kanakoashiria yeye ni mtu huru kifikra. Kwa Lowasa hakuna mjadala umaarufu wake umewakimbiza wabobezi Lipumba na Slaa. Najiuliza why ccm ilikataa mgombea binafsi na sasa imetuletea mfano wa wagombea binafsi tena wawili?!! watoto wanarefusha CCM kama Chama Cha Magufuli nami naiona
haaahahahahaaaaaa,,,,,,,,,,,MNAWEWESEKA SANAAAA MWA
 
Back
Top Bottom