Recent content by Rua

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada taa ya Overdrive ina blink

    Wataalam naombeni msaada (ufafanuzi), Nina Noah sr40 nimegundua Mara ninapo-switch overdrive on taa haizimi Kama ilivyo kawaida ya gari ikiwa katika overdrive mode (gear) badala yake taa inawaka na kuzima (flash/blink) tatizo ni nini wajameni na wale wakazi wa Arusha naomba tuelekezane gereji...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimae huyu binti nimetokea kumukubari lakini dukuduku lipo hapa...

    inawezekana hajaona vingezo anavyohitaji kua mume ndoa jichunguze
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu sikia kilio cha watumishi wa umma

    Wewe ni mpuuzi hujui ulisemalo na hujui maisha hamna anayependa mikopo hata nchi imekopa anakushangaza mtumishi wa Uma?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu sikia kilio cha watumishi wa umma

    Wewe mpuuzi aliyekuambia walimu ni wana ccm Nani?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mapya kuhusu watumishi wa umma kwenda kusoma kwa ajili ya kupanda madaraja na vyeo

    Acha kutudanganya hata awe mhandisi as long as ni mtumishi wa umma kama yapo mafunzo ya namna hiyo lazima atahusika.
  6. R

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI sasa waruhusu uhamisho

    Huu ni utapeli barua Original haiwezi bandikwa kwenye mbao ya matangazo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hii dhambi haitawaacha UKAWA Tanzania

    Aliyekuambia wanakusanya 1.2 b ni nani makusanyo yamepungua sana na hatusikii tena yakitangazwa.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Shamrashamra Ofisi Ndogo CCM Lumumba Street

    Maisha yao hayaendani na thaman ya magari yanayotumiwa na viongozi wao
  9. R

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Mm Mr Joseph wa arusha nilikuwa nafanya malipo tcu kwa bahati mbaya nikawa nimekosea nakutuma nacte CAS nifanyeje ili hela yangu ni rudishiwe Kwan napiga cm haopokelewi!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mungu hawape rehema hawa wazee wetu waliotangulia mbele ya haki tuseme amiin

    hakika tumepoteza wazalendo.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Picha : Tembo mkubwa duniani!

    acha nisiitwe mtalii hapo picha sipigi na hatua ya busara natia kamera kwapan naingia chin ya siti
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matiti makubwa!

    hahaaaa
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

    Usiamini vya kusikia,kajaribu then uje utupe matokeo.
  14. R

    JamiiForums Tanzania CCM sina hamu nao!!

    Nyinyiem ni danguro la wezi,ccm to hell
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi dhidi ya Waislamu wa Kenya

    Mungu sio kilema hadi apiganiwe kwa bunduki na mabomu,anaweza akaiteketeza dunia kwa sekunde,wampiganiae wanajisumbua wautumie muda wao kuomba rehema na wamwabudu,mtume anasikitishwa sana na mauaji ya akina mama na watoto wasiyo na hatia.
Back
Top Bottom