Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
Hum ndani kama una roho ndogo walah hukai
Kwaninii hahhhhahhha
Hum ndani kama una roho ndogo walah hukai
Kwaninii hahhhhahhha
Hiyo mineno yenu mi nachoka kabisa
yana raha yake bwana hebu cheki hapa!!
Daaaah yan we mtu una hatari kweli
Naambiwa nimeingiliwa ni vizuri hivo?
samahani dada naomba nikulekebishe kidogo.waswahili wanasema hujafa hujaumbika.
plz usishangae wala kudis maumbile ya mwenzako.huwezi jua lililopo mbele yako kama si wewe basi mwanao anaweza kuwa hivyo.je utampeleka kwenye jumba la maonyesho???..
na wao hawapendi kuwa hivyo lakini aliyewaumba anasababu zake.ndo maana nao hawakosi watu wa kuwapenda kama huyu mleta mada..usimcheke mtu kutokana na maumbile yake.
Wadau naomba kuuliza!Mwanzoni wakati naanza mahusiano ya kimapenzi nilikuwa napenda sana wasichana wenye chuchu ndogo,
but as time went on nikajikuta napenda wenye matiti makubwa Kinachonichanganya zaidi ni pale washikaji zangu wanavyowadis wenye mtindi!
Nini maoni yenu wadau katika hili?
I mean,ninyi wenzangu mnawachukuliaje wenye matiti makubwa!?
Mbn panic na comment hiyo,nimekosea kumsupport kwa mtazamo wangu?
Hebu mtaarifu mods ale ban banaaa
enheeee!! hapa tunaongea lugha moja! lovely!!!
Wanaume kazi sana kila mtu na chaguo lake Leo unapenda matiti...kesho utasema hips I....kesho kutwa makalio at the end unajikuta unaoa mwanamke wa kawaida hana hat kimojawapo
Hao ndo wanaume
Shule ya kata/chuo cha kata unachosoma kinaitwaje?