TAMISEMI sasa waruhusu uhamisho

TAMISEMI sasa waruhusu uhamisho

Huo ni wizi na kuna mtu alishalizwa kupitia tangazo hilo. Kwenye utaratibu wa kuhama hakuna kitu cha kumsafirisha afisa kupeleka kibali. Huyu tapeli anatakiwa kuwa chini ya mikono ya ulinzi.

Nina uhakika tamisemi hawahusiki kwa hili na nina omba tusiwahusishe kabisa. Ni matapeli wanaotaka kujipatia fedha kwa njia za kilaghai.
 
Mod please hi ni barua ni feki haipo na haijawai andikwa futa huh Uzi please watu watibiwa
 
Huu ni utapeli barua Original haiwezi bandikwa kwenye mbao ya matangazo
 
..uhamisho uendane na malipo ya stahiki za watumishi wanaohama......maana wengi waliohama tangu mwaka jana hawajalipwa mishahara ya huko walikohamia....uhamisho uambatane na stahiki zote za watumishi wanaohama...vinginevyo ni wizi mtupu tu.....
 
Huu ni utapeli, hakuna cheo cha mzibiti wa uhamisho. Barua ya kiofisi especially from TAMISEMI haina k.k hizo zilizowekwa hapo. Hayo ni baadhi tu sitaeleza zaidi maana tapeli asijepitia uzi huu akaboresha ujuzi.
 
Huu ni utapeli jiangalieni mtapigw Pesa zenu za mishahara ya magu asiyotaka kuipandisha hiyo
 
Mtumishi atakayeliamini tangazo hili inabidi aondolewe kwente orodha ya watumishi wa umma, maana akili yake ni mbovu sana.
Hili tangazo lina makosa zaidi ya matatu.
 
Hii Ni fake letter,barua kiserikali ikishakua nahiyo nembo ya bibi Na bwana haijitaji muhuri,pili uhamisho wa serikali unamlipiaje huyo anayepeleka hizo barua?kuwen makin matapeli kazin
 
75c4be0f8163ab4d816bf9237ffd0b1f.jpg
 
Back
Top Bottom