Recent content by RtsHjcq

  1. R

    JamiiForums Tanzania Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

    Ambacho huwa najiuliza ni kuhusiana na like dege lilopotea miaka kadhaa likajirudi...sasa hapa kilitokea nini mpaka wale watu wakajirudi wakiwa hai? Ilihali umri wao ilikuwa umeshasonga kwa upande wa kidunia?? Kuna mambo mengine ni reality lakini hayaeleweki eleweki
  2. R

    JamiiForums Tanzania Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

    Kuna kitu nimejifunza hapa
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa Tanzania, ni suala la muda tu

    Hahhahahha
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kutumia Internet ya halotel?

    Inategemea na eneo ulilopo... Mtandao upo vizuri,kama eneo mbovu hapo ndio changamoto
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na kitu cha ajabu leo, kimenishtua mimi na nilio kuwa nao

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimenusurika kuuawa Guest house baada ya mpenzi wangu kupandisha majini

    Chai au vipi[emoji2]
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano katika family - Ugeni wa Ndugu

    Ahsante.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nani aliyemuumba Mungu?

    Ndio maana kuna utofauti kati ya miungu unayoisema na Mungu. Wewe unamaanisha mungu. Mleta mada anamaanisha Mungu.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Mungu anaumba alipata wapi nyenzo?

    Hakika Mkuu... Nahisi may be kuna uwezakano wa hata baadhi ya sayari zinazoishi watu kama yetu
  10. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Kumbe tayari
  11. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Mtendaji mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Patrick Mfugale amefariki dunia leo Jumanne Juni 29, 2021 jijini Dodoma. Katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Joseph Malongo amesema Mfugale atakayekumbukwa kwa kusimamia ujenzi wa barabara na madaraja zaidi ya 1000 nchini amefariki dunia leo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya jino Ni makali

    Ya juu ni changamoto sana...yapo conected na mishipa ya ufahamu Ila ya chini hayana shida sana...niling'oa gego la chini asubuhi...jioni nikapiga kitimoto kama kawaida
  13. R

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kutambua kuwa ni mchawi?

    Safi Sahihi kabisa
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kujisokota kwa nywele kichwani (ras) ni utajiri wa kiroho

    Mkuu hebu toa siri kidogo
Back
Top Bottom