Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

Hakuna hata haja ya kufafanua time traveling bali afafanue time Kama time Kisha aonyeshe ni kivipi au ni katika namna gani inawezekana time traveling..?

Binafsi nachoona hili jambo ni mkanganyiko sana ktk namna ya kulielewa!, nadharia alizozielezea hapo sijui Kama zinawezekana!. Maana kwa namna alivyoelezea yaonyesha Kama muda ni vipande vya mkate! Yani hivyo ndo vinamatukio yalivyo so ni kama mkanda wa VHS yani ukiwa unaangalia muvi tukio lililopita hiyo ni past,tukio lililopo hiyo ni present na tukio lijalo hiyo ni future.

Tunapozungumzia time moja kwa moja tunaigusa space.. na space sidhani Kama inakitu cha namna hiyo cha kunakili matukio kana kwamba ukirudi nyuma au ukienda mbele utayakuta!! Sidhani hili Kama lipo..
Time traveling ambayo ni simpo na nayoielewa ni mfano wa barafu inavyoweza kugandisha kitu kisiharibike kwa wakati huu na hicho kitu unaweza kukitumia baadae!. I mean Kama utaweza kumuweka samaki ktk barafu na akakaa miaka 5 na wakati alitakiwa aharibike so kwa kuweza kumtunza akakaa miaka hiyo mitano bila kuharibika hiyo mi ndo naita time traveling!. So Kama kutapatikana teknolojia ya kuweza kumfreez binadamu then ukaja kumuamsha hata baada ya mwaka mmoja au mia akiwa vilevile basi hiyo ndo naita time traveling!.. hichi kitu naona kitakuja kuwezekana.

Time traveling kwa future naona ni concept inayowezekana ila ya past naomba hapo nikuambie tu sijui na hapa ndugu yangu chukua pop corn nakuwekea na haka ka burudani ujifurahishe..😂
View attachment 1973641

Watu wanachanganya concept za movie na zile za uhalisia!,time traveling bado haijaweza kudadavuliwa kwa 100%. Zaidi ni nadharia but practically mazingira bado ni magumu.. tukija kwenye nadharia za Albert Einstein Kuna vitu viwili vinaweza kuathiri muda navyo ni speed na gravity. Nakubaliana nae sasa ktk speed hii concept naielewa lkn mpk mtu kufikia hatua ya kupatikana ile effect ya time traveling na kuona kabisa huyu kafanya time traveling into the future ni aidha asafiri ama Kama spidi ya mwanga au karibu na spidi ya mwanga!! Mpaka Sasa hatujaweza kutengeneza kifaa cha namna hiyo ila hii concept ukiifatilia vizuri utaelewa ni kivipi spidi inaathiri muda so nenda kacheki utaelewa vizuri sana.

Gravity hii nayo inaathiri muda pia lakini hii pia mpk kuona moja kwa moja kuwa mtu huyu ame time traveling ni ngumu maana inahitajika gravity kubwa Sana ambayo inapatikana kwenye ma black holes huko.. nako ni mbali kinyama kufikia huko na aidha ukiingia unaweza usitokemo na ukiweza kutoka basi utakuta ni miaka mingi imepita huku duniani hivyo utakuwa ume time traveling into the future. Hapa nimeelezea kwa uchache sana ila fatilia time traveling ya kwenye vitabu vya fizikia achana na muvi utachanganyikiwa bure!

Nenda YouTube search Brian Greene huyu kazielezea hizo concept kiundani zaidi Kama ilivyodadavuliwa kisayansi kabisa na nguli wa fizikia Albert Einstein.
Hasaaa haya ndo maelezo sahihi kuhusu time travelling
 
kiuhalisia nidhanivyo dhana ya muda/time haipimiki yani sio halisia. sidhani kama muda unaweza kuwepo bila matukio. matukio ndio hubeba muda na ndiposa hauwezi kutoa ushahidi wa uwepo wa jana bila kuhusisha matukio, hivyo hivyo haiwekani mtu kwenda jana au kwenda kesho akaikuta kwa wakati huu hivyo muda ni njia tu ya kutunza kumbukumbu lakini haudhibitiki/ yani sio halisia, matukio ndio halisi. hitimisho. huenda tunaishi katika siku moja refu, yenye matukio na vipindi vinavyojirudia rudia na visivyo jirudia hakuna jana wala kesho. wala hakuna umuhimu wa kuangazia muda badala yake tujikite katika matukio na mpishano wake
 
Naombe niulize swal? mkijibu ndo niseme kitu! je kuna mtu chini ya jua anaweza kuona future?
 
Ambacho huwa najiuliza ni kuhusiana na like dege lilopotea miaka kadhaa likajirudi...sasa hapa kilitokea nini mpaka wale watu wakajirudi wakiwa hai? Ilihali umri wao ilikuwa umeshasonga kwa upande wa kidunia??

Kuna mambo mengine ni reality lakini hayaeleweki eleweki
 
Vipi ukirudi nyuma unaweza ku-edit makosa yako ya nyuma then yakaleta direct effect kwa kwa maisha yako ya sasa?!

Mfano unarudi miaka kadhaa nyuma,unakua uko kwenye chumba cha mtihani wa form 6 then ukapiga paper fresh tofauti na ulivyopiga zamani je itabadili matokeo ya necta hadi kwenye database yao?


If not yes,what amazing is this invention ...we better adopt it ila inaweza kutuumiza maana waliompiga lissu watarudi nyuma wasirudie kosa,

If not,its just read only memory (ROM) kinda stuff, it just a dream...hence bullshut
You cant change the past, hiyo ni sawa na dhana ya grandfather paradox japo kua bado dhana hii imekua ikifanyiwa majaribio kuonesha uwezekano wa kuwa na chembe ya uhalisia
 
Naombe niulize swal? mkijibu ndo niseme kitu! je kuna mtu chini ya jua anaweza kuona future?

its complicated so far, there some evidence that shows people from the future during 1700 - 200 years! but still its hard to put it into a global perspective
 
You cant change the past, hiyo ni sawa na dhana ya grandfather paradox japo kua bado dhana hii imekua ikifanyiwa majaribio kuonesha uwezekano wa kuwa na chembe ya uhalisia

THEOROTICALLY its possible, but when it comes kuiweka into practical another problem occurs
 
Ambacho huwa najiuliza ni kuhusiana na like dege lilopotea miaka kadhaa likajirudi...sasa hapa kilitokea nini mpaka wale watu wakajirudi wakiwa hai? Ilihali umri wao ilikuwa umeshasonga kwa upande wa kidunia??

Kuna mambo mengine ni reality lakini hayaeleweki eleweki

There are shortcut in spaces called WORM HOLES, they are very perfect in time travel
 
its complicated so far, there some evidence that shows people from the future during 1700 - 200 years! but still its hard to put it into a global perspective
if some one hes or she able to see the future then this world is fake? A video game that is the next miession is already within the packge. how future can be seen clear still we live to no where? I tried to read the bible i got aquestion why God create lucifer inamaana halikuwa hajuii kuwa after 500years atakuwa muharibifu!?
 
if some one hes or she able to see the future then this world is fake? A video game that is the next miession is already within the packge. how future can be seen clear still we live to no where? I tried to read the bible i got aquestion why God create lucifer inamaana halikuwa hajuii kuwa after 500years atakuwa muharibifu!?
world isnt fake but you dont understand what time exactly is, TIME was redefined again by einsten kabla ya time ya mshale tunaoitumia kutokana na NEWTON
 
So inawezekana ukarudi nyuma ya muda na kumuua babu wa mama yako halafu ukaja future ukajikuta?

Yes, BUT utakua umeanzisha kama another thread of life somewhere else ambayo haitaendana na ulivoiacha, mfano kama wazazi wako wapo hai saahv inamaana ukirudi kuwaua, another frame will continue, and hapo hapo ulivowaua kuna mwingine anaweza kurudi enzi za uhai wao tena
 
Eleza njia na sababu za uwezekano huo.


time travel kwa sisi tunaiona kama theorotically kwa sababu its a relative new topic, ila kuna mtu anaishi kwenye mwaka 3010 na kumi saaahv tayar ameshaitoa from theory na iko practical, time travel inahitaji matumizi ya nguvu kubwa sana mfano kuna watu wanatumia WORM HOLES kufanya time travel, ambayo ndo the best way! kufanya time travel kwa propolsion its IMPOSSIBLE, if you need to do that you will need something that travels at the speed of light of which its impossible at the current technology na hata forever ever its impossible because , LIGHT uses PHOTONS, sasa izi photos have no weight atleast so far as its known, hio character tu ya kua weightless tayar ishafanya propolsion impossible because we humans have weight! lakini time travel can be done kwa kutumia shortcuts za space time mfano WORM HOLES ama pia a BLACK HOLE ikiwa na exit side you can do that by using an ANTI MATTER, it will be responsible to push the black hole outside so that you can pass, so far there isnt any known ANTI MATTER we known leave alone producing it of which its VERY HARD to the current technology!
 
Inawezekana ila ni unethical project. Hivi umewahi kuwazia impact ya hiyo technology ikikamilishwa....?!

Imagine Hitler, waaafusi wake si watarudi kipindi chake na kwenda kumuonya kuwa atafeli wapi ili ajipange na kufanikiwa vita vya Dunia na kuitawala dunia.

Umewazia namna majambazi , wauza dawa, magaidi kama Osama bin laden watakavyotumia technology hiyo kuwadhibiti wale ambao watawakamata au kuwamaliza....

So its an unethical scientific procedure with serious repercussions.
 
Back
Top Bottom