Recent content by Roza

  1. Roza

    JamiiForums Tanzania Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

    Kufeli darasani siyo kufeli maisha. Wangap wanazunguka na mavyeti yao lakini hawana cha maana wengine wanauza magenge nna wengine wameajiriwa kariakoo kwenye maduka ya nguo. Ebu pale mtu anapopambania kitu usimkatishe tamaa na kutafuta sifa zisizo na maana. Wengine wanaomsema makonda kanunua...
  2. Roza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    That is it mkuu
  3. Roza

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Mwaka huu wake wamemuamulia jamani.
  4. Roza

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Hahahahahahahaa ivi vyeo vinaleta mabala wallah.
  5. Roza

    JamiiForums Tanzania Upepo cover; Shkamoo Ray C

    Shikamo Ray C nampenda mpaka naumwa jaman. Mungu atamfanyia wepesi tu dua zenu wakuu
  6. Roza

    JamiiForums Tanzania Gwajima na Manji wananikumbusha yaliyotokea nchini Jamaica

    Sijaona ulinganifu wowote apo kati ya manji na huyo mjamaica.
  7. Roza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji simu smartphone

    Nimeshaku pm,holla at me.
  8. Roza

    JamiiForums Tanzania Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

    Nampenda sana Nifa[emoji4]
  9. Roza

    JamiiForums Tanzania Siri ya mama Diamond kutoka na muarabu yafichuka

    Mbona mswahili tu mama anadamu kalii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. Roza

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

    Wanajenga majungu tunajenga vibanda... rraaaaaaaa.... [emoji122] [emoji122] [emoji122]
  11. Roza

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tiba ya kuondoa makovu usoni

    Paka caroton
  12. Roza

    JamiiForums Tanzania Lowassa kawashinda CCM nzima na serikali yao

    Lowassa ni mfano wa mtego wa bomu,hakuna anayethubutu kumsogelea.
  13. Roza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muro : Pesa za CAF tutailipia Simba SC deni la Musoti

    Asanteeeee Muro,point 6 lazima tuzilinde kwa namna yoyote. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  14. Roza

    JamiiForums Tanzania MZEE AOKOTA FUKO LA PESA NA KULIPELEKA POLISI.

    popoma kweli
Back
Top Bottom