Kama mmekuwa mkikulana wakati wote huo mmeshakuwa wanandoa wasoliojulikana. Na ukumbuke kuwa aliykuwa analiwa muda wote ni wewe. Kwa hiyo ni juu yako kupambania kombe ili mtu wako asije akachukuliwa na kimrembo kipya. Ukimsaidia mtaji ili ajiimarishe kiuchumi unajisaidia wewe pia kwa sababu...
Kama ukipata au umeshapata ufumbuzi wa tatizo hili ni vizuri ukarudisha mrejesho kwa sababu tatizo hili liko na watu wengi pamoja na mimi. Namba yangu ni 0784333470 ukinipigia itakuwa ni vyema zaidi.
Aisee! Kumbe siko peke yangu nnaye wajua. Hawana aibu kabisa. Katikati ya watu utasikia wanasema "ngoja niende kukojoa"badala ya kusema "naenda uwani" au kama kama ni kwenye Bus utasikia wakimwiita konda bila aibu "wee konda, sismamisha gari tukakojoe".Hawana aibu kabisa. Mijitu mzima yanaendaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.