Msaada Nissan xtrail inajizima sana

Msaada Nissan xtrail inajizima sana

Nina shida kama yako bila kuongeza chochote naweza kuwasiliana nawe kwa simu namba yangu ni 0784333470
 
Wakuu poleni na majukumu,

Naomba msaada wenu Gari yangu imekuwa na Tatizo la kuzima ninapokuwa naendesha na huwasha taa za check engine, taa ya gear box, handbreak na kadhalika lakini ikijizima naisha hapo hapo na inawaka bila shida naendelea na safari mpaka itakapojizima tena.

Kwahiyo nilikuwa naomba kwa mwenye uelewa anisaidie maana nataka nilijue tatizo kabla sijaenda kwa fundi kuogopa kupigwa hela nyingi maana uchumi wenyewe kama mnavyoujua.
Brother, nina shida kama yako kwa gari kama yako, naomba tuwasiliane kwa ushering zaidi. Namba yangu ni 0784333470
 
We jamaa umetoka kijiji gani?
Magari karibu 50% yako na umeme au gas.
Haya mangalangala kipawa ndo yamebaki.
Hiyo ni gari inajizima yenyewe kusave power, ni kama simu tu usishangae we mmalila au msafwa?
 
Back
Top Bottom