Recent content by Royal Son

  1. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Car charger inverter bei poa

    🔌 USITESWE TENA KUSHINDWA KUCHARGE LAPTOP! 💻⚡ 🚗 Car Power Inverter – 12V/24V Chaji Laptop, Tablet, Simu na vifaa vingine ukiwa safarini au kwenye gari. ✅ Inatumia umeme wa gari ✅ USB & QC3.0 Fast Charging ✅ Inafaa kwa magari ya 12V/24V ✅ Ina AC output kwa vifaa vinavyohitaji umeme wa kawaida 💰...
  2. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Smart tracker work with android find hub

    📍 SMART TRACKER – 55,000/= Fuatilia vitu vyako kwa urahisi! 🔥 ✅ Inafanya kazi na Android Find Hub ✅ Ndogo na rahisi kubeba ✅ Rahisi kutumia na kusanidi ✅ Inafaa kwa funguo, begi, pochi, mkoba na vitu vingine ✅ Imara na salama kwa matumizi ya kila siku 💰 BEI: 55,000/= 📍 Tunapatikana Arusha Town 📞...
  3. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Merry Patrick Daniel afariki Dar es Salaam, Ndugu zake wanatafutwa

    Hii sura kama ya Iraq/mbulu uki post kwenye Group lao atapata ndugu
  4. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Ushauri wanaopewa vibali vya kumiliki silaha wapimwe akili kila mwaka pls..else tutazika wengi kwa hali hii..pls n pls

    Sijawawi kusikia mke kamuuwa Mume kwa Silaha/Bunduki
  5. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anakitandika na kukichapa Kiingereza utafikiri amezaliwa katikati ya Jiji la London Uingereza ama New York Marekani na kufundisha OXford

    Kweli Africa tuko nyuma sana sidhani kama maraisi wa nchi wanapendelea kuongea Kiingereza
  6. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Je, ni lini Serikali imeanza project ya kujenga nyumba za ibada?

    Halafu wanatuambia serekali haina dini
  7. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Mini GPS ulinzi wa chombo au kifaa chako

    Hatari sana
  8. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Mini GPS ulinzi wa chombo au kifaa chako

    Ndio boss ila inakaa na charge 2 weeks
  9. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Mini GPS ulinzi wa chombo au kifaa chako

    Hii inatumia mnara wa simu na sio Satellite
  10. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Mini GPS ulinzi wa chombo au kifaa chako

    Hata kikiwa kidogo watatumia vifaa vya kisasa zaidi
  11. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Mini GPS ulinzi wa chombo au kifaa chako

    🔥 MINI GPS TRACKER (GF-07) – ULINZI WA CHOMBO CHAKO! 🚗🏍️ Fuatilia gari, pikipiki au mzigo wako popote ulipo kwa kutumia simu yako! 📱✨ 📍 Real-Time Tracking: Inakuonyesha eneo kifaa kilipo muda wowote. 💳 Laini ya Simu: Inatumia SIM card yoyote. 🤫 Saizi Ndogo: Rahisi kuficha mahali popote bila...
  12. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Jipatie Car charger nzuri unayokuwezesha kucharge Laptop na Device aina zote

    🔌 USITESWE TENA KUSHINDWA KUCHARGE LAPTOP! 💻⚡ 🚗 Car Power Inverter – 12V/24V Chaji Laptop, Tablet, Simu na vifaa vingine ukiwa safarini au kwenye gari. ✅ Inatumia umeme wa gari ✅ USB & QC3.0 Fast Charging ✅ Inafaa kwa magari ya 12V/24V ✅ Ina AC output kwa vifaa vinavyohitaji umeme wa kawaida 💰...
  13. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Show me your friends, I will show you your character!-Chivayo connection!

    Kifo ni kifo mkuu
  14. Royal Son

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ulanguzi wa tiketi za mabasi ya mkoani unaofanywa na mawakala

    Mimi nilipanda Bus la Osaka lenye Choo ndani nililipa 45k kwenye Ticket na Receipt inasoma 55k na mtu akalipa 55k Akili Mtu wangu
Back
Top Bottom