🤝IPo ya kongoro la nguruwe, kitu maridadi sana
Toka kwenye huu ujinga na upumbafu wewe sio myahudi by the way usiite najisi usichokiumba.Wajukuu wa Bi Ellen White na kobazi wa Mudi mnakosa mambo mazuri sana. Watu wanakula mdudu! nyinyi mnaleta habari za kucheua!
Hata nyama ya ngombe ina madhara.Hapana mkuu, kila mtu anafanya aonavyo nafsini mwake... sio vibaya kumshauri mazara yake... maana uamuzi wa mwisho ataamua yeye¡
Hahaha,mi natafuta wanapouza supu ya mkia wa kondoo
Ipo ya kongoro za kitimoto aka sotojo ila sehemu nyingi naaona mpaka utoe order. Noma sana kwa kukata hangover.Hivi Sehemu nyingi utakuta Supu Mbuzi/Ng'ombe Kuku,Samaki na Pweza hata wanapouza Kitimoto sijawahi kuona supu yake inauzwa
hayo mafuta ndo unyama sasaHahaha,
Si itakuwa mafuta tupu?
Itakuwa na harufu ya zizi chafu la mbuzi-katoliki!Supu yake itakuwa na shombo baya
Basi wewe hakika haupo Tanzania,ipotena ya ngwara sasa!Hivi sehemu nyingi utakuta supu Mbuzi/Ng'ombe, kuku, samaki na pweza hata wanapouza kitimoto, sijawahi kuona supu yake inauzwa
Hii kitu inapatikana wapi?Bila shaka lazima itakuwa tamu!
Hahaha,hayo mafuta ndo unyama sasa